Kadi za kliniki zazusha balaa
Na Ahmed Makongo, Bunda
WANAWAKE katika Jimbo la Mwibara wilayani Bunda mkoani Mara, wameilalamikia hatua ya hospitali, vituo vya afya na zahanati za serikali na binafsi kuwauzia kadi za kliniki kwa gharama ya sh. 2,000.
Walitoa malalamiko hayo jana mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, ambaye yuko ziarani kuhamasisha shughuli za maendeleo na kukagua ujenzi wa maabara katika sekondari za kata.
Walidai baadhi ya wauguzi wa hospiali, vituo vya afya na zahanati katika jimbo hilo,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Sasa umiss kwa kadi ya kliniki
9 years ago
Bongo517 Dec
Kunani kati ya Ben Pol na Alikiba? Tweets hizi zazusha utata mkubwa!
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kiba-300x194.jpg)
Kuna tatizo kati ya Ben Pol na Alikiba?
Au Ben ameamua kutoa mtazamo wake wa moyoni juu ya hitmaker huyo wa Chekecha? Maswali ni mengi lakini ukweli ni kwamba tweet ya Ben kwa Kiba ina utata mkubwa.
“Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?” ameandika Ben Pol.
Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?
— Ben Pol (@IamBenPol) December 17, 2015
Well, neno ‘overrated’ ndio kiini cha ujumbe wa...
10 years ago
Mwananchi05 Mar
‘Wanaume wahudhurie kliniki’
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kliniki ya wanawake yazinduliwa
HOSPITALI YA Taifa ya Muhimbili imezindua kliniki maalumu ya uchunguzi wa afya ya wanawake (WWC) yenye lengo la kutoa vipimo. Kliniki hiyo itatoa huduma za uchunguzi wa saratani ya shingo...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Umuhimu wa kuanza kliniki mapema
MOJA ya matatizo ya huduma za uzazi Tanzania ni kina mama kuchelewa kuanza kuhudhuria kliniki. Ni kwa nini wanachelewa? Kutokana na stori za wasichana wawili walio na mimba unazoona kwenye...
10 years ago
Habarileo15 Mar
Kliniki kuwezesha afya tele
WAJAWAZITO mkoani T a b o r a wameaswa k u a n z a huduma za kliniki mapema sana ili kuepuka madhara ya uzazi na kutunza ujauzito wao vizuri kupitia huduma za afya ya uzazi kwa mama na mtoto zinazotolewa katika vituo mbalimbali vya afya.
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Marekani ilishambulia kliniki 'kimakosa'
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Kliniki ya wanaume waliobakwa Sweden
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgbRXhy83FnPyZsUTc5ie0qshVM7rHAT7AQGFFlPUqqyGSIrOjZ*e9XtuWLDyiAAUtLJDParBtff4Fo8ljp6JUli/klinikcopy.jpg?width=650)
MAMA AIBIWA MTOTO KLINIKI!