Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kagame, Kenyatta wamsifu Kikwete

Rais wa Rwanda, Paul KagameRAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema hatua ya Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Jakaya Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Nchi zilizoungana Kutekeleza Miradi ya Miundombinu Ukanda wa Kaskazini ni hatua muhimu katika kufungua utekelezaji wa miradi ya miundombinu katika kanda nyingine za EAC.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi rais Nkurunziza alivyowapanga marais Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni

Mwanahabari wa BBC, Salim Kikeke alimtembelea rais Pierre Nkurunziza na kufanya mahojiano naye mwaka 2015 kuhusu jinsi ambavyo angewapanga marais wenzake katika timu ya kandanda ya Afrika mashariki.

 

11 years ago

TheCitizen

Kenyatta, Kagame under fire at media conference

>President Uhuru Kenyatta of Kenya has been criticised for signing into law legislation giving the state the power to decide what journalists report.

 

10 years ago

Mwananchi

Kagame, Kenyatta ‘walilia’ ajira EAC

Marais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Paul Kagame wa Rwanda, wamewataka viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuacha woga na kuruhusu uhuru wa wananchi wao kupata kazi ndani ya jumuiya hiyo.

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete, Kagame kujadili matatizo

MARAIS Jakaya Kikwete na Paul Kagame wa Rwanda, wamepanga kukutana mara kwa mara kujadili matatizo yanayoibuka na kuhatarisha amani baina ya nchi hizo. Pia Tanzania imechaguliwa kwa mara ya pili kuwa mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) katika mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.

 

10 years ago

Mwananchi

Kagame amfurahia Jakaya Kikwete

Rais Paul Kagame amemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuhudhuria mkutano wa tisa wa nchi zilizoungana kutekeleza Miradi ya Miundombinu Ukanda wa Kaskazini za Northern Corridor Projects uliofanyika jijini Kigali, Rwanda, akisema ni hatua muhimu katika kufungua utekelezaji wa miradi ya miundombinu katika kanda nyingine za EAC.

 

10 years ago

The Africa Report

Paul Kagame vs. Jakaya Kikwete


Paul Kagame vs. Jakaya Kikwete
The Africa Report
A handshake and smiles at Burundi crisis talks. Photo©Stringer Reuters The East African neighbours are starting to rebuild their friendship. Rwanda's President Paul Kagame and Tanzania's President Jakaya Kikwete are slowly and quietly trying to make up ...
Kikwete in 'Goodbye Africa' SpeechAllAfrica.com

all 7

 

10 years ago

Vijimambo

Kagame ammwagia sifa Kikwete

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wakiteta jambo wakati wa mkutano uliowakutanisha viongozi wa nchi sita. Picha na Venance Nestory
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani