Kikwete, Kagame kujadili matatizo
MARAIS Jakaya Kikwete na Paul Kagame wa Rwanda, wamepanga kukutana mara kwa mara kujadili matatizo yanayoibuka na kuhatarisha amani baina ya nchi hizo. Pia Tanzania imechaguliwa kwa mara ya pili kuwa mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) katika mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
CHADEMA: Matatizo hayatakwisha kwa kujadili imani
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar, Hamad Musa Yusuph, amesema matatizo ya Watanzania hayataweza kutatuliwa kama wananchi watajikita kujadili imani zao badala ya sababu ya...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Kikwete: Matatizo daraja Kigamboni yatatuliwe haraka
10 years ago
The Africa Report16 Jun
Paul Kagame vs. Jakaya Kikwete
Paul Kagame vs. Jakaya Kikwete
The Africa Report
A handshake and smiles at Burundi crisis talks. Photo©Stringer Reuters The East African neighbours are starting to rebuild their friendship. Rwanda's President Paul Kagame and Tanzania's President Jakaya Kikwete are slowly and quietly trying to make up ...
Kikwete in 'Goodbye Africa' SpeechAllAfrica.com
all 7
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Kagame amfurahia Jakaya Kikwete
10 years ago
Vijimambo27 Mar
Kagame ammwagia sifa Kikwete
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Kagame, Kenyatta wamsifu Kikwete
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema hatua ya Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Jakaya Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Nchi zilizoungana Kutekeleza Miradi ya Miundombinu Ukanda wa Kaskazini ni hatua muhimu katika kufungua utekelezaji wa miradi ya miundombinu katika kanda nyingine za EAC.
10 years ago
Mwananchi27 Mar
USHIRIKIANO: Kagame ammwagia sifa Kikwete
10 years ago
Habarileo26 Feb
Lungu, Kikwete kujadili Tazara
RAIS Jakaya Kikwete ameondoka nchini jana kuelekea Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili kutokana na mwaliko kutoka kwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Chagwa Lungu pamoja na kujadili changamoto za reli inayounganisha Tanzania na Zambia (Tazara).
10 years ago
Habarileo03 Jul
Kikwete ammwagia sifa Rais Kagame kwa kujenga umoja
RAIS Jakaya Kikwete amemsifu kiongozi wa Rwanda, Rais Paul Kagame kwa mafanikio yake makubwa katika kuifanya nchi yake iwe mfano wa kuigwa katika kujenga umoja wa kitaifa pamoja na kupiga hatua kiuchumi na kimaendeleo muda mfupi tu baada ya nchi hiyo kuathirika vibaya kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababisha mauaji ya kimbari.
“Ninampongeza Rais Kagame kwa jitihada zake zenye mafanikio makubwa katika kuijenga upya nchi ya Rwanda na kuweza kutengeneza taifa moja lililoweza...