Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA: Matatizo hayatakwisha kwa kujadili imani

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar, Hamad Musa Yusuph, amesema matatizo ya Watanzania hayataweza kutatuliwa kama wananchi watajikita kujadili imani zao badala ya sababu ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kikwete, Kagame kujadili matatizo

MARAIS Jakaya Kikwete na Paul Kagame wa Rwanda, wamepanga kukutana mara kwa mara kujadili matatizo yanayoibuka na kuhatarisha amani baina ya nchi hizo. Pia Tanzania imechaguliwa kwa mara ya pili kuwa mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) katika mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yakutana kujadili adhabu ya Spika

Homa ya Uchaguzi Mkuu imeifanya Chadema kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili kujadili mambo ya kitaifa, ikiwamo adhabu waliyopewa wabunge wa Ukawa kabla ya kutoa tamko.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati Kuu Chadema yaitwa kujadili uchaguzi

Kamati Kuu ya Chadema, inatarajia kukutana kwa dharura kujadili uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu Chadema kujadili Katiba, uchaguzi

SIKU chache baada ya kukamilika kwa mchakato wa kuandika Katiba Inayopendekezwa, Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kukutana kwa siku mbili kuanzia leo jijini Dar es Salaam kujadili pamoja na mambo mengine, mchakato wa mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yakutana Dar kujadili kuongoza Seriklali ya Awamu ya Tano

>Chadema, ambayo imekuwa ikieleza matumaini yao ya vyama vya upinzani kutwaa dola mwaka huu, leo inaanza kikao cha Kamati Kuu, huku moja ya ajenda ikiwa ni kuzungumzia kuongoza Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

 

11 years ago

Habarileo

Ateketezwa kwa moto kwa imani za ushirikina

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob MwaruandaMKAZI wa Kitongoji cha Chanji Kisiwani Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Elizabeth Mwananjela (60) ameungua na kufia ndani ya nyumba yake baada ya kuteketezwa na moto na watu wasiojulikana kisha kuibomoa.

 

11 years ago

Habarileo

Achinjwa kwa imani za kishirikina

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.

 

10 years ago

GPL

KWA NILIVYOTENDWA, SINA IMANI NA MWANAMKE!

Nimatumaini yangu kuwa Sikukuu ya Idi ilikuwa murua na hongereni kwa kusherehekea vizuri. Kama nilivyoahidi wiki iliyopita kwamba wiki hii nitatoa nafasi kwenu wasomaji kusikia maoni yenu juu ya mada ambazo nimekuwa nikizileta kwenu juu ya uhusiano wa kimapenzi. Mmoja wa watoa maoni anadai hana imani tena na mwanamke kwa sababu aliwahi kutendwa vibaya na msichana aliyempenda kwa dhati.Kwako mtoa maoni na wengine, kuumia na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke auawa kwa imani za kishirikina

Polisi mkoani hapa inawasaka watu wanaodaiwa kumuua kikatili, Rehema Msole (32) kwa kumpiga shoka, mawe na nondo, kisha mwili wake kuuchoma moto wakimtuhumu kuwa ni mchawi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani