Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yakutana Dar kujadili kuongoza Seriklali ya Awamu ya Tano

>Chadema, ambayo imekuwa ikieleza matumaini yao ya vyama vya upinzani kutwaa dola mwaka huu, leo inaanza kikao cha Kamati Kuu, huku moja ya ajenda ikiwa ni kuzungumzia kuongoza Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aapishwa rasmi kuongoza serikali ya awamu ya tano

Rais Mteule John Magufuli leo ameapishwa kuwa rais awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusema anafahamu majukumu makubwa aliyonayo kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha yakutana na uongozi wa MCC kujadili utekelezaji awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania

Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania. Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.

DSCI0166

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali  Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.

DSCI0167

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yakutana kujadili adhabu ya Spika

Homa ya Uchaguzi Mkuu imeifanya Chadema kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili kujadili mambo ya kitaifa, ikiwamo adhabu waliyopewa wabunge wa Ukawa kabla ya kutoa tamko.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA LEO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Jeshi la Ulinzi lenye Umbo la Alfa, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Serikali mpya ya awamu ya tano, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo. Sherehe hizo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh....

 

9 years ago

Vijimambo

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA URAIS WA TANZANIA AWAMU YA TANO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Urais Rais Mteule wa Tanzania Dk.John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo. Kushoto ni Makamu wa Rais Mteule, Samia Hassan Suluhu. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu katika hafla hiyo.
 Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli (kulia),...

 

9 years ago

Michuzi

VETA YAKUTANA NA WADAU WA UMEME,VIWANDA NA MAGARI KUJADILI UTEKELEZAJI WA MAFUNZO



Washiriki wa warsha hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi ambaye ni mshauri wa mradi huo Bw. Ahmed Athumani.Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Soko la Ajira ,Mipango na Maendeleo wa VETA, Ahmed Athuman akizungumza katika warsha ya wadau wadau wa viwanda,umeme na magari kujadili utekelezaji wa mradi wa mafunzo yanayotolewa kwa ushirikiano kati VETA na wadau hao iliyofanyika katika ukumbi wa Giraffee Hoteli jijini Dar es Salaam.Sehemu ya wadau wakifatilia maada mbalimbali...

 

9 years ago

StarTV

Majeshi ya Tanzania, Kenya yakutana Shirati kujadili kuweka usalama mipakani

Jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya na jeshi la polisi la Kenya wameweka mikakati imara kuhakikisha eneo la mpakani mwa nchi hizo mbili linakuwa salama

Mikakati hiyo imewekwa kwenye kikao cha ujirani mwema kati ya Polisi Kanda Maalum ya Tarime Rorya na polisi Kenya Kurya East, Nyatike, Migori na Kurya West kilichofanyika katika mji mdogo wa Shirati wilayani Rorya mkoani Mara.

Kikao hicho ambacho kimewahusisha maofisa mbalimbali wa polisi kutoka inchi hizi mbili, kiliongozwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA TANZANIA YAKUTANA NA MAAFISA HABARI KUJADILI CHANGAMOTO ZA UTOAJI TAARIFA

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika(MISATAN) Bwana Andrew Marawiti  akizungumza jambo wakati akifungua kongamano na maafisa habari wa taasisi za serikali zilizofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetuMaafisa habari mbalimbali kutoka wizara na mihimili tofauti ya nchi, jana walikutana katika hoteli ya JB Belmont hapa Dar es Salaam kujadili changamoto wanazo kumbana nazo wakati kwa kutoa taarifa kwa wananchi.

Kongamano hilo linafuatia matokeo ya utafiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani