Kahawa yakipekee kwa ngono
Je una tatizo la kupungukiwa na nguvu za kiume? kahawa yenye vijimambo ndani yake yaweza kuwa tiba yako, wanaume kwa wanawake nchini Zimabwe inawalindia heshma kwa wapenzi na ndoa zao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z89Y9YawKqM/Xt_30dGwUQI/AAAAAAALtQI/wjmtAOw5s_ARTseOS7laiw2yzPTpLgkowCLcBGAsYHQ/s72-c/T2.jpg)
TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.
![](https://1.bp.blogspot.com/-z89Y9YawKqM/Xt_30dGwUQI/AAAAAAALtQI/wjmtAOw5s_ARTseOS7laiw2yzPTpLgkowCLcBGAsYHQ/s1600/T2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-IRKB-fosws8/Xt_30S47bGI/AAAAAAALtQM/CMSotMtAZTUIRI2kmC8WZcJEC5WtJ51DQCLcBGAsYHQ/s1600/T1.jpg)
Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....
10 years ago
MichuziBODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI
10 years ago
MichuziMONDAY, DECEMBER 1, 2014 BODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/shutterstock_111999368.jpg?width=650)
SCRUB YA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI KWA MIGUU
Wanawake wengi wanapenda kwenda saluni kuosha miguu na kusuguliwa lakini nia ni moja tu ya kuondoa ngozi iliyokufa na kuwa na ile laini. Leo nakuletea scrub nzuri unayoweza kuitumia ukiwa nyumbani kwako na ikaifanya miguu yako kuwa na mvuto. Pia ina uwezo wa kuondoa ngozi ngumu. Kwa wale wenye tatizo la kupasuka kwa miguu scrub hii husaidia kuitunza isipatwe na tatizo hilo. Unaiandaaje?… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75oGimXCRKhmAMUc-IhnhfP3EtmrgA9-eyIb2wBCtBnpn2nhKK-39t7Pt6jW8RGcUD6yvNsufUAWsmtEWFcGa-nO/KAHAWA.jpg)
KAHAWA, CHAI: KUNYWA LAKINI KWA UANGALIFU!
Nijamii halisi ya dawa. Ukinywa kahawa wakati umechoka, baada ya dakika tano uchovu wote huisha. Ila, unatakiwa unywe kahawa kwa nadra kwa kuwa kahawa pamoja na vinywaji vyote vyenye ‘Caffeine’ ni ulevi ambao ukiuendekeza huweza kuwa ‘teja’ wa vinywaji hivyo (addicted). Kahawa iliyoandaliwa tayari kwa kunywewa. Kahawa ndiyo yenye kiwango kikubwa cha ‘Caffeine’ kuliko vinywaji vingine...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8Bsqquc5lX6vmmwCQ0pF-8yYO18VwNWL6--6huZ3zwcw2MmUtQLQxDVoeTSYvqkVF53-hz9tnQpSzFY5lFcW80/CHAI.jpg)
ATHARI ZA CHAI, KAHAWA KWA VIUNGO VYA MWILI
KAMA mtakumbuka, katika toleo la Uwazi namba 846, Juni 10 – 16, 2014, tuliongelea madhara ya matumizi makubwa ya bidhaa zenye caffeine na kahawa ikiwa yenye kiwango kikubwa. Wasomaji wengi mliuliza maswali mengi mkitaka kujua zaidi kuhusu athari za caffeine, hasa kwa upande wa maumivu ya mifupa na nyonga. Mlikuwa sahihi kwa kuwa ni kweli wengi wetu tunaumwa maradhi ya mifupa na hasa nyonga, magoti na mgongo. Kitaalamu...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-UdjfrBlJkIA/VhiO3FWneUI/AAAAAAAAVUo/9o3cd3ItxCM/s72-c/E86A2555%2B%25281280x853%2529.jpg)
LOWASA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-UdjfrBlJkIA/VhiO3FWneUI/AAAAAAAAVUo/9o3cd3ItxCM/s640/E86A2555%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-O-XMLB0HGWM/VhiO_c0L1XI/AAAAAAAAVVE/AgOecnnxsFQ/s640/E86A2574%2B%25281280x853%2529.jpg)
11 years ago
Habarileo13 Jun
Tuhuma za kutibu kwa ngono zipo kwa mwanasheria
JALADA la kesi ya waganga wa jadi wawili wanaotuhumiwa kubaka baada ya kutoa tiba kwa wanawake ili wapate watoto, kwa masharti ya kushiriki nao ngono bila kinga, limepelekwa kwa Mwanasheria wa Kanda wa Serikali kwa hatua zaidi.
9 years ago
VijimamboZANZIBAR MWENYEJI WA MKUTANO WA MAONESHO YA ZAO LA KAHAWA KWA MARA YA KWANZA MWAKANI 2016
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania