Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA AWAONGOZA MASTAA KUMTULIZA WEMA

Gladness Mallya
KUFUATIA kauli ya Wema Sepetu ya hivi karibuni kuwa hawezi kupata mtoto wa kumzaa, mastaa wa fani mbalimbali wamejitokeza kumtuliza moyo, wakiongozwa na hasimu wake wa karibu, Kajala Masanja, ambaye amesema hana sababu ya kukata tamaa, kwani bado ni mdogo. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Kajala Masanja. Akizungumza na gazeti hili baada ya kuombwa maoni yake, Kajala alielezea masikitiko yake juu ya hali ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAMLIZA KAJALA USIKU, KISA..!

Imelda Mtema Machozi ya furaha! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alijikuta akiangua kilio baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ na mastaa wenzake katika siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo lilichukua nafasi usiku wa Julai 22, mwaka huu nyumbani kwake Sinza Afrikasana jijini Dar ambapo akiwa hana hili wala lile, mastaa hao akiwemo Jacob Steven ‘JB’, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Zuwena Mohammed...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa wa Bongo Movies, Kajala na Riyama Wamuunga Mkono Mabeste

“WAUNGWANA wangu wapendwa wangu Naomba kwahisani yako Pitia uzuri hayo maelezo ktk bango hakikisha haikupiti hii kama kweli wewe ni mzalendo pia onesha kuguswa na mtihani ambao unamkabili sasahivi kakayetu ndugu yetu mwenzetu Mabeste halafu sema hata mimi ni binadamu nisie kamilika matatizo mitihani na maradhi nimeumbiwa mimi.
Mimi nilishayabeba Haya kua kwaupende wangu maumivu niliopata hayaelezeki nikapata jibu kua pengine asingekua yeye leo hii ningeweza kua mimi ndio mwenye mtihani huu...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA LIVE

Stori:  WAANDISHI WETU Hatimaye! Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa na kusababisha tafrani kubwa, Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ na Kajala Masanja ‘K’ hatimaye wamekutana uso kwa uso (live) na kumaliza bifu lao saa chache kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Ijumaa Wikienda limesheheni. Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa Wema Isaac Sepetu...

 

10 years ago

GPL

WEMA, KAJALA TENA!

Brighton Masalu
MAJANGA! Wasanii wawili mahasimu katika tasnia ya filamu, Kajala Masanja na Wema Sepetu ‘Madam’ wametengeneza tena vichwa vya habari baada ya kukutana ndani ya klabu ya usiku ya Maisha iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzua minong’ono miongoni mwa wadau wengi wa burudani, Risasi Mchanganyiko linakupa hatua kwa hatua. Msanii wa filamu Bongo,Kajala Masanja...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA WAPATANA

Stori: Hamida Hassan AMA kweli kufa kufaana! Lile bifu zito lililokuwa likitokota kati ya wapendwa wawili, Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na mwigizaji mwenzake wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja limekwisha kufuatia kukalishwa katika kikao cha siri  kilichofanyika kwenye msiba wa aliyekuwa mwogoza filamu mahiri nchini, marehemu George Otieno ‘Tyson’, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Wema Isaac Sepetu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani