KAJALA: UBONGE UNANIPA STRESS
![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaHYzjCpwz-snbfAdL-CjRVo9aJlsU5lNWnkV845vVeIJSk8vKrODj7iFX3n3KYWShoGhY-wIxPF6P*Ms7j*lJ1a/kajala.jpg)
Stori: Imelda Mtema STAA wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa hakuna kitu kinachompa ‘stress’ kama unene hivyo ameamua kuanza mazoezi. Staa wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja. Akizungumza na mwandishi wetu, Kajala alisema hakuna kitu ambacho kinampa ‘stress’ kama unene hivyo kuanzia sasa ameamua kuacha usingizi wake kila asubuhi ili kufanya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Ubonge ‘nyanya’ wamtesa Boban
9 years ago
Bongo510 Oct
Msechu: Ukubwa wa Nyota unanipa wakati mgumu kuja na ngoma ya kuizidi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd663mXOpmRgYJKdT-fwmZCOevmNfs5ne8bpK6CYlb5xwSgEsXJGEYzhxopwBIevZ1LhxTm*RdGNBcoDaah*tQq5MU/jack.jpg?width=650)
JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
TheCitizen31 Mar
How to prevent and cope with stress
10 years ago
Daily News12 May
PM lays stress on fair learning
Daily News
MORE strategic approaches are to be employed to improve the learning environment in the country, Premier Mizengo Pinda has said, insisting that providing education to the Tanzanian child is constitutional. Officiating at the opening of the Education Week ...
10 years ago
GPL01 Aug