KAJALA UMRI UNASOGEA?, ?TULIZANA SASA?!?
![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO1XRllsogDvW6RO-SI5dMu44z9bRdLOmq*NunhE6jnmBqkakt-aPEU5J-JBWguauoQeHbUgWoW80JYCob0DM879/150000080.jpg)
KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Bila shaka uko poa na unaendelea na shughuli zako za kila siku. Vipi mwanao Paula naye hajambo? Baba yake je? Ukitaka kujua afya yangu, mimi namshukuru Mungu. Naendelea kupambana na kazi zangu za kila siku ili kuhakikisha tonge linakwenda kinywani. Dhumuni la kukuandikia barua hii ni kutaka kukukumbusha kwamba unapaswa kufanya vitu sahihi… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ8URCfUOgcf21Fao2B82nchAAy2a4*s5c7LLim9QdegxR1ZD9Epi6aH-Xrlgeb6B*zorZED15CGW0WE6CyzEUz6/Kajala.jpg)
KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
MichuziCULTURAL WARS SASA IMEKAMILIKA NA SASA UNAWEZA KUPATA COPY YAKO, PITIA HII TRAILER.
Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars” iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi New York) akishirikiriana na Watanzania na Wamarekani waishio New York, New Jersey Boston na Connecticut sasa imetoka kwa mara ya kwanza na inapatikana kwenye DVD na unaweza kupata “electronic Copy” Filamu hii inazungumzia baadhi ya changamoto za kimapenzi wazipatazo vijana wa Kitanzania hapa...
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu
Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...