KAKA WA GONDWE KUWAGWA KUNDUCHI KESHO, DAR
![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BjGmzZ4-sK2reFy1H79-LGWvVGhm*B0kw8Ro8YE9Vg0mXWRKgMYLZZvfos4uWm40SC-n*zznB0MjF8tuJ3mWPx/20150826061409.jpg)
Marehemu Geofrey Boardington Gondwe Ndg.Robert Gondwe wa Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake Geofrey Boardington Gondwe kilichotokea jana(25.08.2015).Ataangwa kesho(27.08.2015) kwake Kunduchi saa 6 mchana na Mazishi yatafanyika makaburi ya kinondoni saa kumi jioni.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Gl34cnVlKZQ/default.jpg)
mazishi ya faith catherine Gondwe makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Sx8FJ0D8Bbs/default.jpg)
10 years ago
Michuzi03 Aug
NHC FAMILY DAY BONANZA LAFANA KUNDUCHI BEACH HOTEL, JIJINI DAR
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/115.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/25.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/35.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiJdUjJPjpNmV*4daMWiLOCakODS8c2r8laH9OM7vK-NxDnDIoDhOeN0niywtCnj0I-PoZcCpZEhsaJPpb49CNhB/001.MTAKUJA.jpg?width=650)
SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH, DAR, YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi beach jijini Dar es Salaam, wakishusha vifaa vya kompyuta mpakato kwa kushirikiana na maofisa wa Vodacom Tanzania, Jumla ya kompyuta(25) pamoja na  vifaa vingine vimetole msaada na Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Samsung na vitafungwa hivi karibuni kwa ajili ya kufundishia somo la kompyuta shuleni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EjuYdjeSi-c/VVIRKtu-NmI/AAAAAAAHW3M/xhDkmWWn8lQ/s72-c/001.MTAKUJA.jpg)
SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM YAPOKEA MSAADA WA KOPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION
![](http://4.bp.blogspot.com/-EjuYdjeSi-c/VVIRKtu-NmI/AAAAAAAHW3M/xhDkmWWn8lQ/s640/001.MTAKUJA.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NK8gYiMrPFs/VVIRJSw3DrI/AAAAAAAHW3E/hmtrbBYkl8c/s640/002.MTAKUJA.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h0-Z5-rrir4/U4wz-73kW8I/AAAAAAAFnJU/MfBKjrpha10/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala, Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-h0-Z5-rrir4/U4wz-73kW8I/AAAAAAAFnJU/MfBKjrpha10/s1600/unnamed+(1).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PHKC1AOWfhzHrPAhNcvHhpmBnVGcgGKxrvWMbJtloJwfsngrbgOQB7t*HkPln2dtUzu0FBJP5ICGr9NpzimKrBAn0RaK8FwA/DARLIVE.jpg?width=650)
KESHO NDIYO KESHO DAR LIVE
BONANZA LA JOGGING & BREAKING NEWS… KESHO ndiyo kesho! Bonanza la Jogging na Global Breaking News 15778 linachukua nafasi kwa kukutanisha michezo ya jogging, mpira wa miguu, netiboli, kuvuta kamba, bao la kete, drafti, karate na mingine mingi. Â
Bonanza hilo la bure litafanyika kwa kuanza na mbio za jogging zitakazoanzia katika Uwanja wa Taifa hadi Uwanja wa Mbagala-Zakhem kutakapofanyika baadhi ya michezo huku...
10 years ago
MichuziSHUKURANI TOKA FAMILIA YA GONDWE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRPr1o-Ur1pb3QNFEshmGvh7FXKtiAzx5tOtbtK2FK36hFTjd5af*6GyaSA-c9t4NRleGT*xDA1P9ghE8MdcoyfS/Image5copy.jpg?width=650)
GODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!
Godwin Gondwe ‘Double G’ akifuta machozi.
Brighton Masalu
MTANGAZAJI maarufu ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar na Mshereheshaji (MC), Godwin Gondwe ‘Double G’ wikiendi iliyopita alimwaga machozi hadharani wakati akitoa ushuhuda wa maisha aliyopitia wakati wa semina ya ujasiriamali inayofanyika kila Jumapili katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuta cha Victoria, kilichopo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania