SHUKURANI TOKA FAMILIA YA GONDWE
FAITH CATHERINE GONDWEFAMILIA YA BW. GEOFFREY GONDWE INAPENDA KUWASHUKURU WATU WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA INGINE KATIKA KUHITIMISHA SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WAO FAITH CATHERINE GONDWE ALIYEFARIKI DUNIA GHAFLA SIKU YA JUMANNE FEBRUARY 17, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM, NA KUPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE SIKU YA JUMAMOSI FEBRUARY 21, 2015 KATIKA MAKABURI YA JUMUIYA YA MADOLA, KINONDONI.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-8--S5Tm77ck/UsGGbOnJFqI/AAAAAAAFD_0/LqMDeBvFQjw/s640/unnamed+(2).jpg?width=650)
SHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA MRUMA
Familia ya Mruma ya Dar es Salaam na Ugweno, Mwanga inatoa shukurani nyingi
kwa ndugu,jamaa,marafiki, majirani na Watanzania wote waliojitokeza kuwa
nao kwa njia tofauti katika kipindi cha msiba wa mtoto wao mpendwa Jerry
ambaye alifariki dunia Nairobi tarehe 17 Novemba na kuzikwa Dar es Salaam
tarehe 26 Novemba 2013.


Ni vigumu kutoa shukurani hizi kwa majina. Kwa njia ya kipekee,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XjVtFzsAcjI/VFnx58qeNvI/AAAAAAAGvjw/ILQTBZyakPo/s72-c/unnamed.jpg)
SHUKURANI TOKA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ANGULILE MWASUMBWE WA TUKUYU
Kwa niaba ya familia ya mzee Angulile Mwasumbwe wa Kanyelele Tukuyu Mbeya, tunawashukuru ndugu, marafiki na jamaa zetu wote walioungana nasi kwa hali na mali katika msiba wa baba yetu uliotokea 23/09/2014. Mungu hatawapungukia wala kuwaacha. Tunamtukuza Bwana awezaye kutufanyia mambo ya ajabu kuliko vile tuwazavyo na tuombavyo (Efeso 3:20); tunamtukuza Mungu kwa kumtwaa Baba yetu katika uzee mwema - Marehemu ameishi miaka 100 kamili (1914 - 2014)Mbarikiwe Mungu aliye Juu na jina la Bwana...
11 years ago
Michuzi11 May
shukurani toka minnesota, marekani
Ndugu Wanajumuiya wa Minnesota/New York,
Sisi watoto na familia ya Mama Lulu Mwaluko, tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa jumuiya za watanzania za Minnesota na New York, kwa msaada mkubwa wa hali na mali, na mapenzi mliyotuonyesha katika kipindi kifupi cha kumuuguza, mpaka mauti ya mama yetu mpendwa, Lulu J.M. Mwaluko aliyefariki March 7, 2014 katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.
Kwa kweli hakuna maneno yanayoweza kuelezea jinsi tulivyofarijika kwa uwepo wenu kati yetu...
Kwa kweli hakuna maneno yanayoweza kuelezea jinsi tulivyofarijika kwa uwepo wenu kati yetu...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wLVGEkIBnzc/UyKFoldx6zI/AAAAAAAFTdY/qQXEhoKOgFI/s72-c/unnamed+(18).jpg)
shukurani toka tano ladies
![](http://2.bp.blogspot.com/-wLVGEkIBnzc/UyKFoldx6zI/AAAAAAAFTdY/qQXEhoKOgFI/s1600/unnamed+(18).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1QCta3kegjk/VVpFU8PX2zI/AAAAAAAC4qU/-PQOXqYgVEU/s72-c/New%2BPicture.png)
NENO LA SHUKURANI KUTOKA KWA FAMILIA YA BWA UWESU MASUMI WA MBEZI BEACH JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-1QCta3kegjk/VVpFU8PX2zI/AAAAAAAC4qU/-PQOXqYgVEU/s320/New%2BPicture.png)
Shukurani za pekee ziwafikie wanajumuiya wa masjid Akram, Taqwa, Noor na Fauz Mbezi Beach, masjid Maamur- Upanga, Dr. Halid Gongoro, Ofisi za...
10 years ago
Vijimambo03 Aug
Shukrani toka kwa familia ya Francisca Mwaluli
Kwa niaba ya Francisca Mwaluli na Kwa niaba ya Famila ya Mzee
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi kigumu kinachowakabili.
Hana cha kuwalipa zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi kuwa na ushirikiano katika kila jambo.Ahsanteni...
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi kigumu kinachowakabili.
Hana cha kuwalipa zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi kuwa na ushirikiano katika kila jambo.Ahsanteni...
10 years ago
VijimamboSHUKURANI KWA WATANZANIA KUTOKA KWA FAMILIA YA MAGEGE NA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvaniakwa pamoja na Magege's Family,Tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wotewaliojitokeza kwa namna Moja au nyengine katika kufanikisha mazishi yaMpendwa Mzee wetu Alfred Magege.Kwa pamoja tumefarijika na upendo mliotuonyesha katika Kipindi chotecha Msiba wa Mzee wetu naHatuna cha kuwalipa isipokuwa kukuombeeni dua kwa Mwenyezi Munguakuzidishieni Baraka na Daima tuendelee kuwa wamoja katika shida naraha.
Vile vile Tunatoa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRPr1o-Ur1pb3QNFEshmGvh7FXKtiAzx5tOtbtK2FK36hFTjd5af*6GyaSA-c9t4NRleGT*xDA1P9ghE8MdcoyfS/Image5copy.jpg?width=650)
GODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!
Godwin Gondwe ‘Double G’ akifuta machozi.
Brighton Masalu
MTANGAZAJI maarufu ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar na Mshereheshaji (MC), Godwin Gondwe ‘Double G’ wikiendi iliyopita alimwaga machozi hadharani wakati akitoa ushuhuda wa maisha aliyopitia wakati wa semina ya ujasiriamali inayofanyika kila Jumapili katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuta cha Victoria, kilichopo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania