Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


shukurani toka tano ladies

TANO Ladies wanatoa shukrani za dhati kwa watu mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuhadhimisha sherehe  ya siku ya Wanawake Duniani 2014. Shukrani za pekee kwa Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula na wanawake Wajasiriamali walioshiriki kwenye maonyesho:Mitindo Nite, NASHONA,Taste of Tanzania, Farida Cartering, Little Ladies of Diaspora, SHINA INC, IskaJoJo Studios, Computer Repair Services, Nesi Wangu, Bahari Deco. Crafts, Marbella Events Inc, Lucy Nombo, Erica Lulwakwa Glenn na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Usiku wa wanawake wa Tanzania wafana, Balozi awafagilia tano ladies

IMG_0786

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili kwenye ukumbi wa Martin’s Crosswinds uliopo Greenbelt, Maryland kwenye usiku wa Wanawake wa Tanzania ulioratibiwa na kikundi cha wakinamama wa tano chenye maskani yao DMV kinachobeba jina la Tano ladies na kuufanya usiku huo kuwa wa aina yake na kuweka historia ya wanawake nchini Marekani kwa kusahau tofauti zao, kuwaacha wapendwa wao nyumbani na kuwa kitu kimoja kwa kujumuika pamoja kuelimishana juu ya kupendana na...

 

10 years ago

Michuzi

SHUKURANI TOKA FAMILIA YA GONDWE

FAITH CATHERINE GONDWEFAMILIA YA BW. GEOFFREY GONDWE INAPENDA KUWASHUKURU WATU WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA INGINE KATIKA KUHITIMISHA SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WAO FAITH CATHERINE GONDWE ALIYEFARIKI DUNIA GHAFLA SIKU YA JUMANNE FEBRUARY 17, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM, NA KUPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE SIKU YA JUMAMOSI FEBRUARY 21, 2015 KATIKA MAKABURI YA JUMUIYA YA MADOLA, KINONDONI.

FAMILIA YA BW. GEOFFREY GONDWE INATAMBUA KWAMBA SI RAHISI SANA KUMSHUKURU MTU MMOJA MMOJA KWA...

 

11 years ago

Michuzi

shukurani toka minnesota, marekani

Ndugu Wanajumuiya wa Minnesota/New York, Sisi watoto na familia ya Mama Lulu Mwaluko, tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa jumuiya za watanzania za Minnesota na New York, kwa msaada mkubwa wa hali na mali, na mapenzi mliyotuonyesha katika kipindi kifupi cha kumuuguza, mpaka mauti ya mama yetu mpendwa, Lulu J.M. Mwaluko aliyefariki March 7, 2014 katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.
Kwa kweli hakuna maneno yanayoweza kuelezea jinsi tulivyofarijika kwa uwepo wenu kati yetu...

 

11 years ago

GPL

SHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA MRUMA‏

Familia ya Mruma ya Dar es Salaam na Ugweno, Mwanga inatoa shukurani nyingi
kwa ndugu,jamaa,marafiki, majirani na Watanzania wote waliojitokeza kuwa
nao kwa njia tofauti katika kipindi cha msiba wa mtoto wao mpendwa Jerry
ambaye alifariki dunia Nairobi tarehe 17 Novemba na kuzikwa Dar es Salaam
tarehe 26 Novemba 2013.



Ni vigumu kutoa shukurani hizi kwa majina. Kwa njia ya kipekee,...

 

10 years ago

Michuzi

SHUKURANI TOKA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ANGULILE MWASUMBWE WA TUKUYU

Kwa niaba ya familia ya mzee Angulile Mwasumbwe wa Kanyelele Tukuyu Mbeya, tunawashukuru ndugu, marafiki na jamaa zetu wote walioungana nasi kwa hali na mali katika msiba wa baba yetu uliotokea 23/09/2014. Mungu hatawapungukia wala kuwaacha. Tunamtukuza Bwana awezaye kutufanyia mambo ya ajabu kuliko vile tuwazavyo na tuombavyo (Efeso 3:20); tunamtukuza Mungu kwa kumtwaa Baba yetu katika uzee mwema - Marehemu ameishi miaka 100 kamili (1914 - 2014)Mbarikiwe Mungu aliye Juu na jina la Bwana...

 

10 years ago

BBC

Liverpool Ladies 2-1 Birmingham City Ladies

Nigeria striker Asisat Oshoala scores her first goal in English football to help Liverpool beat Birmingham City.

 

10 years ago

BBC

Liverpool Ladies 1-2 Sunderland Ladies

Nigeria striker Asisat Oshoala becomes the first African to play in England's Women's Super League, but suffers defeat.

 

11 years ago

Michuzi

ASASI TANO ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA (LSF) KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA ZAMALIZA ZIARA YA SIKU 3 SHIRIKA LA KIVULINI

Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Bw Ramadhan Masele akifunga ziara ya kimafunzo ya siku tatu kwa mbele ya washiriki wa ziara hiyo (hawapo pichani), Bw Masele alitoa shukrani kwa maafisa toka mashirika matano ya mikoa ya kanda ya ziwa pamoja na maafisa toka Mfuko wa Msaada wa kisheria (LSF) na Foundation for Civil Society kwa ziara hiyo ya mafunzo. Mwanakijiji wa kata ya Mwamala Wilaya ya Kwimba Bi. Grace Masanja akieleza msaada wanaopata juu ya elimu na ushauri wa kisheria toka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani