Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kalenga ni fundisho jingine kwa CHADEMA

NI mara ya tatu sasa nakiasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuangalia pale kilipojikwaa badala ya kuangalia kilipoangukia. Kitakapoangalia pale kilipojikwaa kitaepuka kuanguka tena pindi kitakapopita njia ile. Aprili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MDOGO KALENGA: KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA FEB 14, 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana kwa ajili ya kikao cha dharura, Februari 14, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho, Kamati Kuu itajadili na kufanya uteuzi wa mwisho wa jina la mgombea ubunge wa CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, unaotarajiwa kufanyika Machi 16, mwaka huu....

 

5 years ago

Michuzi

PIGO JINGINE CHADEMA, MWENYEKITI WA JIMBO LA BUNDA AJIUNGA NA CCM LEO

Charles James, Michuzi TV

WANAISHA! Hiyo ndilo neno unaloweza kusema kutokana na wimbi la viongozi wa upinzani wanaohama vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Baada ya jana madiwani 11 wa Jiji la Mbeya wakiongozwa na Mstahiki Meya, David Mwashilindi kuihama Chadema na kuhamia CCM, leo tena Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.

Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa,Iringa vijijini.
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

9 years ago

GPL

FUNDISHO KWA WANAOCHATI, KUWASILIANA NA MICHEPUKO KWA SIRI!

HukO nyuma niliwahi kuzungumzia namna simu za mkononi zilivyorahisha usaliti. Nikasema kuwa, sasa hivi wapenzi wengi wanaachana kutokana na simu. Leo hii wapo ambao wanatamani wasiwe na simu kutokana na ukweli kwamba zimekuwa zikiwakosesha amani katika maisha yao. Lakini wakati hali ikiwa hivyo, bado wapo ambao wako kwenye uhusiano lakini wamekuwa wakizitumia vibaya simu zao. Unakuta mume wa mtu lakini ana namba za wanawake kibao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaishika Kalenga

WAKATI wiki ya kampeni za lala salama ikianza jimboni Kalenga, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeanza kumnadi mgombea wake wa ubunge, Grace Tendega, kwa helikopta ili kuvifikia vijiji vyote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yacharuka Kalenga

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeweza kujipenyeza katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kalenga, kikiwa kimefanya mikutano 157 katika kata 13 ndani ya siku 10 tangu kuanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jeshi la CHADEMA lahamia Kalenga

TIMU ya wabunge 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiongozwa na Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, leo wanatarajia kuwasili  Kalenga ili kuongeza nguvu ya ushindi kwa mgombea wa chama...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema na CCM wavutana Kalenga

Kalenga. Ikiwa siku zinasogea kwa kasi kwa ajili ya uchaguzi wa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge jimboni hapa, Dk William Mgimwa, wagombea wa vyama vikuu pinzani wameendelea na kampeni zao kwa kutumia mbinu zenye mvuto wa aina yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani