Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUNDISHO KWA WANAOCHATI, KUWASILIANA NA MICHEPUKO KWA SIRI!

HukO nyuma niliwahi kuzungumzia namna simu za mkononi zilivyorahisha usaliti. Nikasema kuwa, sasa hivi wapenzi wengi wanaachana kutokana na simu. Leo hii wapo ambao wanatamani wasiwe na simu kutokana na ukweli kwamba zimekuwa zikiwakosesha amani katika maisha yao. Lakini wakati hali ikiwa hivyo, bado wapo ambao wako kwenye uhusiano lakini wamekuwa wakizitumia vibaya simu zao. Unakuta mume wa mtu lakini ana namba za wanawake kibao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UJUMBE KWA WAPENDA MICHEPUKO‏

Unapenda kuchepuka? Hatukukatazi, lakini tunakupa tahadhari, mchepuko unakuathiri wewe na taifa zima kuanzia sekunde unayoanza, kwa sababu itakupa ugonjwa, utaupeleka nyumbani, utamwambukiza mwenzako, mtaugua na kufa, mtaiacha yatima familia yenu, mtazalisha watoto wa mitaani, watageuka majambazi na kufanya uhalifu mitaani.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Atoa fundisho Kwa Shabiki…

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.

“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalenga ni fundisho jingine kwa CHADEMA

NI mara ya tatu sasa nakiasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuangalia pale kilipojikwaa badala ya kuangalia kilipoangukia. Kitakapoangalia pale kilipojikwaa kitaepuka kuanguka tena pindi kitakapopita njia ile. Aprili...

 

9 years ago

GPL

WEMA NA FUNDISHO KWA WANAWAKE WANAOTOA MIMBA

Hamida Hassan Shauku ya wanawake wengi kuitwa mama ni kubwa sana, namaanisha kwamba kuwa na mtoto ni moja ya heshima ambayo wanawake wengi wanaililia, walio kwenye ndoa na hata wale walio nje ya ndoa.....Soma zaidi====>http://bit.ly/1EGHTkS

 

11 years ago

GPL

MATUMIZI SAHIHI YA SIMU KWA WENYE MICHEPUKO

JAMAA zangu wengi sana wanapata taabu kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndicho kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani why? Kuna hii ishu ya kuwa na michepuko, kimsingi hili jambo ni gumu kumalizika, kwa hiyo sihangaiki kuwaambia watu waache, huko ni sawa na kukataza jua lisizame pia hayanihusu. Mtu anakuwa na mchepuko wake, na...

 

9 years ago

Mtanzania

‘Home Coming’ iwe fundisho kwa wasanii Bongo

Baadhi ya wasanii waliojitokeza juzi kwenye uzinduzi wa filamu hiyo Mlimani City jijini Dar es salaam.NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

KATIKA tasnia ya filamu hapa nchini tunaanza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wasanii wengi kujituma kwa lengo la kutangaza kazi zao ndani na nje ya nchi, huku ikiwa njia mojawapo ya kujipatia kipato.

Siku zote tumekuwa tukiona filamu zetu za hapa ndani zikitazamwa kwa muda mfupi na zinaanza kusahaulika kutokana na uwezo mdogo wa wasanii kufanya filamu hiyo na kutokuwa na ubunifu wa kutosha.

Kwa sasa kumekua na tabia ya kuangalia filamu za nje...

 

9 years ago

Bongo Movies

Maneno ya Lulu kwa Mama Yake ni Fundisho Tosha

Mwigizaji Lulu ameandika haya jana kwenye ukurasa wake mtandaoni, ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi.

lulu241
The pic Says all…!
Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki wa kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi.
Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama .
Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna namna ninayoweza kukuelezea na watu wakapata picha halisi ya ulivyo
Una mapungufu yako..Ndio sikatai .
Una mabaya yako…Ndio maana...

 

9 years ago

Raia Mwema

KWA CCM, uchaguzi huu uwe fundisho la mwisho — 1

USHINDI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 unabaki na utaendelea kub

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani