KALIO LA MASOGANGE LALETA AJALI!
Imelda mtema Makubwa! Lile kalio la haja la muuza nyago maarufu kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ limesababisha ajali kati ya bodaboda na Bajaj maeneo ya Sinza-Mori baada ya mrembo huyo kushuka kwenye gari akielekea saluni. Agness Gerald ‘Masogange’ akiwa katika pozi. Shuhuda wa tukio hilo alisema kuwa bodaboda ilikuwa ikitokea upande wa Baa ya Meeda na Bajaj ilikuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBODABODA AMSHIKA AFANDE KALIO,AKIONA!!
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Gigy amtambia Wema kwa kalio lake
Gift Stanford ‘Gigy Money’.
Na Mayasa Mariwata
MSANII anayechipukia kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ‘amejivua’ akili kwa kumtambia staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kuwa si chochote kwake kwani hawezi kumfikia kwa umbo lake hususan kalio.
Wema Sepetu.
Akipiga stori na kona ya Bongo Movies, Gigy ambaye pia ni ‘muuza nyago’ kwenye video za Kibongo alisema kuwa ana kila sababu inayomfanya kujitambia kwa umbo lake ambalo linawateka hasa wanaume wakware.
“Kuna siku...
10 years ago
Mtanzania15 Oct
Lori la mafuta laleta maafa Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.
Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.
Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Shambulio bandia laleta maafa Kenya
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Anguko la kahawa laleta umaskini Kilimanjaro — 2
SEHEMU ya kwanza ya makala hii nilizungumzia sababu za kushuka kwa uzalishaji wa kahawa mkoani Kilimanjaro. Nilielezea baadhi ya athari zilizojitokeza kutokana na kuanguka kwa uzalishaji wa zao hilo zikiwamo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Anguko la kahawa laleta umaskini Kilimanjaro
KUSHUKA kwa uzalishaji wa kahawa katika Mkoa wa Kilimanjaro kumewaweka wananchi hususan wakulima katika wimbi la umaskini wa kipato. Baadhi ya wananchi wanashindia mlo mmoja na wengine kutokana na kushindwa...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Eneo la Sokoine laleta utata Monduli
ENEO lililotengwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Sokoine katika Kata ya Loksale wilayani Monduli Mkoa wa Arusha kwa ajili ya mafunzo ya kijeshi na malisho ya mifugo, limeleta utata.
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Anguko la kahawa laleta umaskini kilimanjaro — 4
HALI ya maisha kwa wananchi wa kipato ha chini mkoani Kilimanjaro si ya kuridhisha kutokana na kuanguka kwa uzalishaji wa kahawa. Wananchi wengi hasa waishio vijijini wanakabiliwa na umaskini wa...
11 years ago
GPLMASOGANGE...