Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMA HAMUWEZI KUACHANA BORA LISEREREKE

Ni Jumanne tena imefika huku ‘oyaoya’ za kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zimepamba moto kote nchini. Kila mgombea anaomba kura, lakini tusikilize sera zao badala ya kufuata ushabiki tu. Mada yangu ya leo ni; KAMA HAMUWEZI KUACHANA, BORA LISEREREKE! Mada hii inabidi kuisoma kwa upana zaidi ili kuilewa vinginevyo kwa juujuu unaweza kusema ninachochea kuvunjika kwa uhusiano. Nimefuatilia sana na kubaini kuwa, kwa hapa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAENI, ZUNGUMZENI, KAMA KUACHANA IJULIKANE MOJA!

NI Jumanne tena, naamini wapenzi wasomaji wangu mpo sawasawa kiafya, kiakili na zaidi sana kimapenzi. Mwaka 2015 ndiyo kwanza bado mbichi, ni nafasi ya kila msomaji wangu kujipanga katika mwaka huu ili kujua namna ya kutimiza malengo, hasa ya kimapenzi.

Naamini wasomaji wangu walio wengi ni watu wenye miaka inayokubalika kujitambua na kujiamulia mambo bila kuongozwa.Leo katika mada yangu nimependa kuzungumzia wapendanao kwa maana ya wanandoa au wapenzi ambao wapo kwenye misukosuko ya muda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Petitman: Bora Ninyang'anywe Mke Kuliko Kuachana na Wema Sepetu

Mfanyakazi wa kampuni ya Endless Fame, Petitman  ambaye mara zote ameonekana kuwa karibu sana na bosi wake , Wema Sepetu  amesema kamwe hawezi kuacha kuwa karibu na Wema eti kwa sababu  Wema  na Diamond wameachana, ukizingatia kuwa Pititman  na Diamond ni mtu na shemeji yake. (Petitman amemuoa dada yake Diamond, Esma)

Kauli hiyo inaashiria kwamba Petitman yupo tayari kunyang'anywa mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu...

 

10 years ago

BBCSwahili

'Hakuna bora kama mimi',Mourinho ajigamba

Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza kilabu hiyo licha ya mabingwa hao watetezi wa ligi ya Uingereza kushindwa vibaya katika kipindi cha miaka 29.

 

10 years ago

Bongo5

Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza klabu hiyo licha kupoteza mechi tatu mfululizo katika msimu huu. Baada ya kichapo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Everton ,Mourinho alisema kuwa watu wengi sasa wanafurahia janga lake. “Haya ni matokeo mabaya zaidi katika kazi yangu,” alisema Mourinho. “Sijazoea […]

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hamuwezi kuunda serikali moja,” Werema awaambia wajumbe wa #Katiba [VIDEO]

Jaji Werema alisisitiza kuwa suluhisho la suala la muungano si kuifuta serikali ya Zanzibar.

 

10 years ago

Bongo5

Update: Soundcity hamuwezi kututisha kwa lolote — Meneja wa P-Square awajibu!

Beef kati ya kituo cha runinga Soundcity TV ya Nigeria na kundi la P-Square inazidi kupamba moto. Meneja wa kundi la P-Sqaure ambaye pia ni kaka yao, Jude Okoye amekijibu kituo hicho kilichotoa maelezo ya kwanini hakioneshi video za P-Square (Ingia hapa). Jude ametumia Twitter kuishutumu Soundcity kuwa haiwalipi wasanii mirahaba na wao hawalalamiki, hivyo […]

 

10 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: ...kama vipi bora mkoa, bongo ishaanza kuboa

Ebwana heri ya mwaka mpya, najua utakatiza tu kwa rehema zake Mwenyezi Mungu, inshaallah..

 

10 years ago

Bongo5

Timbaland awataja Tupac na Notorious B.I.G. kama rappers bora wa muda wote

Timbaland amedai kuwa Tupac na Notorious B.I.G. ndio rappers bora wa muda wote. Producer huyo mahiri alisema hayo kwenye mahojiano na kipindi cha ESPN cha First Take na kuulizwa ni rappers gani wakali kuwahi kutokea kwenye muziki wa hip hop. Pamoja na kuwataja rappers hao marehemu alimpa sifa zake pia Jay Z anayemchukulia kama kaka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani