Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMANDI YA JESHI LA ANGA KUADHIMISHA MIAKA 32

Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga, Meja Jenerali JF Kapwani akizungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Meja Kapwani. Wageni walioketi meza kuu.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kamandi ya Anga kuadhimisha 32

KAMANDI ya Jeshi la Anga linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 32 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1982.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaungana na mataifa mengine kuadhimisha miaka 70 ya usafiri wa anga duniani

Anga -1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini na namna Serikali kupitia Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) ilivyojipanga kuhakikisha usalama wa ndege na abiria wanaotumia anga la Tanzania.

Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya usafiri wa anga, (International Civil Aviation Day) ambayo huadhimishwa...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAUNGANA NA MATAIFA MENGINE KUADHIMISHA MIAKA 70 YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini na namna Serikali kupitia Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) ilivyojipanga kuhakikisha usalama wa ndege na abiria wanaotumia anga la Tanzania.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waenda Zanzibar kuadhimisha wiki ya anga

MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi siku ya Usafiri wa Anga, Mtesigwa Maugo amesema wamewawezesha wanafunzi 20 kutoka shule tofauti za msingi jijini hapa kwenda Zanzibar kutembea wakati wa maadhimisho ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi limefanya shambulio la anga Sanaa

Wakaazi wa mji mkuu wa Yemen,wamesema kumetokea mlipuko mkubwa kufuatia shambulio la anga yaliyofanywa na wanajeshi wa serikali

 

10 years ago

Michuzi

APRM kuadhimisha miaka 12 ya mageuzi Afrika

Na Mwandishi Wetu
Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Jumanne, Machi 10, 2015 unaadhimisha miaka 12 ya kuleta mageuzi ya utawala na utungaji wa sera bora barani Afrika.
Maadhimisho hayo yatafanyika kwa namna na staili mbalimbali Barani Afrika katika nchi wananchama wa Mpango huo ikiwemo Tanzania.
Hapa nchini kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa APRM, Mpango huo utaadhimisha siku hiyo kwa kufanya mjadala wa wazi kwenye Chuo Cha Diplomasia kilichopo Kurasini,...

 

10 years ago

CloudsFM

THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUAZISHWA

Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji(THT) kinarajia kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake,sherehe hizo zinarajiwa kufanyika Jan.31,Escape One,Mikocheni jijini Dar.THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji,lakini wasio na uwezo wa kujiendeleza wenyewe kwenye sekta ya sanaa hapa nchini,na toka wakati huo kituo hicho kimekuwa na mafanikio makubwa na mchango wa pekee kwenye kukuza sana ya muziki hapa nchini.Akizungumzia maadhimisho hayo meneja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani