TMF KUADHIMISHA MIAKA NANE YA MAFANIKIO
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
Mfuko wa vyombo vya Habari Tanzania (TMF) kuadhimisha miaka nane ya mafanikio
Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza tukio hilo, ameeleza Tarehe 22 Septemba, 2015 tutakuwa na tukio la madhimisho ambayo yatajumuisha maonyesho kwa ajili ya waandishi wa habari waliowezeshwa na misaada ya TMF kuonyesha kazi zao na jinsi gani zimechangia kuleta uwajibikaji na pia kuonyesha kazi ambazo zimepandisha kiwango cha mijadala ya umma katika masuala husika hususani utawala bora na haki za...
9 years ago
MichuziMFUKO WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA NANE YA MAFANIKIO
5 years ago
MichuziMIAKA MINNE NA MIEZI NANE YA MAFANIKIO, MBUNGE WA MANONGA SEIF KHAMIS GULAMALI AWASHUKURU WANANCHI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVIKIWA Taifa linaelekea katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu, mafanikio katika Jimbo la Manonga Wilayani Igunga yameonekana dhahiri na hiyo ni baada ya jitihada zilizofanywa na Mbunge wa Jimbo hilo Seif Khamis Gulamali katika kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kutekeleza ahadi alizoahidi hasa katika sekta ya Elimu na Afya.
Akizungumza na Michuzi Blog Gulamali amewashukuru Wananchi wa Manonga na Wilaya ya Igunga kwa ushirikiano...
9 years ago
Michuzi9 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziAPRM kuadhimisha miaka 12 ya mageuzi Afrika
Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Jumanne, Machi 10, 2015 unaadhimisha miaka 12 ya kuleta mageuzi ya utawala na utungaji wa sera bora barani Afrika.
Maadhimisho hayo yatafanyika kwa namna na staili mbalimbali Barani Afrika katika nchi wananchama wa Mpango huo ikiwemo Tanzania.
Hapa nchini kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa APRM, Mpango huo utaadhimisha siku hiyo kwa kufanya mjadala wa wazi kwenye Chuo Cha Diplomasia kilichopo Kurasini,...
10 years ago
CloudsFM15 Jan
THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUAZISHWA
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji(THT) kinarajia kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake,sherehe hizo zinarajiwa kufanyika Jan.31,Escape One,Mikocheni jijini Dar.THT ilianzishwa mwishoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji,lakini wasio na uwezo wa kujiendeleza wenyewe kwenye sekta ya sanaa hapa nchini,na toka wakati huo kituo hicho kimekuwa na mafanikio makubwa na mchango wa pekee kwenye kukuza sana ya muziki hapa nchini.Akizungumzia maadhimisho hayo meneja wa...
11 years ago
GPLKAMANDI YA JESHI LA ANGA KUADHIMISHA MIAKA 32
9 years ago
Dewji Blog10 Sep