Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIPONGEZA WAKALA WA VIPIMO (WMA)

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Dkt. Ludovick Manege (aliyenyoosha mkono)  akiwaongoza wabunge wa kamati ya kudumu ya bunge Viwanda, Biashara na Mazingira waliofika kutembelea katika kituo cha Misugusugu Kibaha - Pwani kujionea shughuli zinazofanywa ikiwemo kujifunza mambo mbali mbali.
Mjumbe wa kamati ya bunge viwanda, biashara na mazingira akiuliza swali mara baada ya  mara baada ya katika kituo Wakala wa Vipimo kilichopo Misugusugu kilichoko mkoani Kibaha - Pwani. Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakagua viwanda

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe. Dkt injinia Binilith Satano Mahenge (kulia) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira  Mhe. Abdulkarim Hassan Shaha (wapili kulia),Pamoja na  Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakikaguwa Mazingira katika moja ya kiwanda cha Mifuko ya Plastiki (East African Industy)kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. Abdulkarim Shah akiwasili kwa boti katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe, Kigoma.  Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Allan Kijazi akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe Bibi. Noelia Myonga, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mahmoud Mgimwa,Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mahenge akutana na Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (aliyesimama), akizungumza na Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika Migodi ya Bulyankulu, North Mara, Geita na Buzwagi, wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Ummy Mwalimu, akiwa pamoja na Mbunge wa Mafia, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. Abdulkarim Hassan Shaha...

 

11 years ago

GPL

KAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIMWAGIA SIFA PPF ‏

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio (wa kwanza Kushoto) akiongea na wabunge wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakati wabunge hao walipotembelea Banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea Kufanyika katika Viwanja Vya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam.Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mh Luhoga J Mpina.
 Wabunge wa Kamati ya Uchumi,...

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA

 Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVKATIKA kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani, Mkurugenzi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Stella Kahwa amesema kuwa Wakala huo upo sehemu zote hapa nchini kuhakikisha Vipimo katika Malighafi na bidhaa mbalimbali vinatumika na kuzingatiwa kwa usahihi.
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio (wa kwanza Kushoto) akiongea na wabunge wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakati wabunge hao walipotembelea Banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea Kufanyika katika Viwanja Vya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam.Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mh Luhoga J Mpina. Wabunge wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakisikiliza maelezo kuhusiana na huduma mbalimbali...

 

11 years ago

Habarileo

Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia

WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU ILIPOTEMBELEA OFISI ZA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Athumani Kapuya akizungumza na watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za Serikali, wakati walipotembelea ofisi za Wakala jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akieleza jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusuiana na mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa miradi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani