Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA OFISI ZA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Athumani Kapuya akizungumza na watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za Serikali, wakati walipotembelea ofisi za Wakala jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akieleza jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusuiana na mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa miradi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU ILIPOTEMBELEA OFISI ZA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Athumani Kapuya akizungumza na watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za Serikali, wakati walipotembelea ofisi za Wakala jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akieleza jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusuiana na mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa miradi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka. Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU

KAMATI YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu. 
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Yatembelea Miradi ya Maji Tanzania Bara

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz Prof. Peter Msolla na Naibu Waziri wa Maji Mh. Amosi Makalla wakifungua koki za maji kando kidogo ya manispaa ya Iringa. Kamati ya kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz wakiongozwa na Prof. Peter Msolla na Naibu Waziri wa Maji Mh. Amosi Makalla wakikagua miundombinu ya maji katika Halmashauri ya Ilola. Mhandisi wa maji Manispaa ya Iringa akisoma taarifa ya miradi ya halmashauri ya manispaa hiyo mbele ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yatembelea miradi ya maji

WIZARA ya Maji imelazimika kuwapeleka wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Klimo, Mifugo na Maji katika miradi mbalimbali ya maji Tanzania bara, ili kujionea hali ya utekelezaji wa miradi hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MAJENGO YA MAHAKAMA

Jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha likiwa katika hatua za awali za ujenzi wake ulioanza Januari 2020. Jengo hili na mengine sita ni majengo yanayojulikana kama Vituo Jumuishi vya utoaji haki yaani yatakayokuwa yakitoa huduma za Mahakama ngazi zote katika jengo moja. Majengo haya yanajengwa katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma, Morogoro na Dar es salaam.
 Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Majengo wa Mahakama ya Tanzania Mhandishi Khamadu Kitunzi akiwaelezea jambo wajumbe...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Ardhi maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Tarangire

Mkurugenzi mkuu wa hifadhi za taifa,TANAPA,Allan Kijazi akiteta jambo na mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira Mh James Lembeli kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati hiyo na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire. Mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira ,Mh James Lembeli akizungumza wakati wa kikao cha kamati yake na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire. Mkurugenzi mkuu shirika la hifadhi ya taifa,TANAPA,Allan Kijazi akizungumza jambo wakati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA PSPF, NA KUFURAHISHWA NA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akimpatia mfuko wenye taarifa na machapisho ya shughuli na huduma mbalimbali za Mfuko huo, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya, Lediana Mng'ong'o, wakati kamati yake ilipotembelea makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa Machi 13, 2015. Katika taarifa yao, kamati imeridhishwa na mafanikio ambayo Mfuko huo imeyapata tangu kuasisiwa kwakeMwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. George...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani