Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MAJENGO YA MAHAKAMA

Jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha likiwa katika hatua za awali za ujenzi wake ulioanza Januari 2020. Jengo hili na mengine sita ni majengo yanayojulikana kama Vituo Jumuishi vya utoaji haki yaani yatakayokuwa yakitoa huduma za Mahakama ngazi zote katika jengo moja. Majengo haya yanajengwa katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma, Morogoro na Dar es salaam.
 Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Majengo wa Mahakama ya Tanzania Mhandishi Khamadu Kitunzi akiwaelezea jambo wajumbe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA OFISI ZA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Athumani Kapuya akizungumza na watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za Serikali, wakati walipotembelea ofisi za Wakala jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akieleza jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusuiana na mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa miradi...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU ILIPOTEMBELEA OFISI ZA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Athumani Kapuya akizungumza na watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za Serikali, wakati walipotembelea ofisi za Wakala jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akieleza jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusuiana na mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa miradi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA MVOMERO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA CHUO KIKUU MZUMBE

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mvomero ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Mwl. Mohammed Utali ameupongeza uongozi wa Chuo kikuu Mzumbe kwa kuwa na maamuzi yenye tija kwa Chuo na Taifa kwa kuwekeza kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa,, kumbi za mikutano na ofisi za wafanyakazi kwa kutumia mapato yake ya ndani katika ujenzi wa jengo jipya nala kisasa lenye ghorofa nne eneo la Maekani Kampasi Kuu.

Hayo ameyasema wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) akifafanua jambo wakati kamati yake ilipokutana na Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini katika Ofisi Ndogo za Bunge leo. Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani lipo nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu na wenyeji wao. Kushoto kwa Mhe. Zitto ni Mwenyekiti wa Kamati ya PAC ya Bunge la Sudani Kusini Bi. Mary Bicensio Wani. Wajumbe wa Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani wakishiriki kikao hicho na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge kwenye ofisindogo za bunge jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 22, 2015. Kikao cha bunge kinatarajiwa kuanza Januari 27, 2015Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kamati Uongozi leoMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani