Kamati ya Bunge yaeleza kiini cha migogoro ya ardhi
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema ni vijiji 1,000 tu kati ya 11,000 vilivyopo nchini ndivyo vyenye mpango wa matumizi bora ya ardhi jambo linalosababisha kuwapo kwa migogoro ya ardhi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Dec
Kinana ataja kiini migogoro ya ardhi nchini
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema matatizo ya migogoro ya ardhi katika ya hifadhi za wanyama na wananchi, yanatokana na sheria zake nyingi kupitwa na wakati na ndio chanzo kikubwa cha migogoro.
5 years ago
Michuzi
KAMATI YA BUNGE YAUBEBA MRADI UJENZI MAKTABA YA CHUO CHA ARDHI TABORA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusiana na mradi wa ujenzi wa Maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora wakati kamati hiyo ilipokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo mwishoni mwa wiki . Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Kemilembe Lwota na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri.

10 years ago
Habarileo13 Jun
Kamati Kuu CCM kujadili migogoro ya ardhi Karagwe
TATIZO la migogoro ya ardhi, ukiwamo wa ranchi ya Kitengule, wilayani hapa, linatarajiwa kufikishwa katika Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi.
10 years ago
MichuziPAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Wanasiasa chanzo cha migogoro ya ardhi
WANASIASA wamebainika kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi inayotokea nchini na kusababisha vifo huku wengine wakibaki na ulemavu kama inavyojitokeza katika mgogoro wa Kiteto, mkoani Manyara. Mbali na hilo, serikali...
9 years ago
Habarileo29 Dec
Chanzo cha migogoro ya ardhi Kilwa chaelezwa
KUKOSA uelewa juu ya Sheria ya Ardhi kwa jamii katika vijiji vya Kiranjeranje na Mandawa wilayani hapa, kumetajwa kusababisha migogoro ya mara kwa mara ya ardhi katika maeneo hayo.
9 years ago
Habarileo23 Dec
Ugawaji ardhi kinyume chanzo cha migogoro
UGAWAJI usiozingatia sheria ya ardhi umetajwa kuwa chanzo cha migogoro katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakimiliki ekari 3,000 hadi 5,000.
11 years ago
Habarileo30 Oct
Kamati ya Bunge yaibana Wizara ya Ardhi
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kutengeneza mpango wa upimaji maeneo ya makazi yasiyopimwa nchini ili yatambuliwe rasmi, lengo ni kuhakikisha serikali inakusanya fedha za kodi ya ardhi inayopotea, kutokana na nyumba nyingi kukosa hati ya umiliki.
10 years ago
Habarileo20 Jan
Kamati ya Bunge yazibana wizara za Ardhi, Maliasili
KAMATI ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imezitaka Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ile ya Maliasili na Utalii, kuhakikisha zinamaliza mgogoro wa ardhi uliopo katika eneo la Hifadhi ya Saadani bila kulitumia Bunge kwa maslahi yao binafsi.