Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya shule matatani Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nachingwea, imewaburuza kortini walimu na viongozi wa Kamati ya Shule wakihusishwa na kufanya manunuzi hewa ya vifaa vya ujenzi kwa ajili ya nyumba ya mwalimu wilayani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wakuu 15 shule za wazazi matatani

Wakuu wa shule 15 zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM, wako hatarini kuburuzwa mahakamani kutokana na tuhuma za ubadhirifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo Takukuru, TRA, CAG ‘kikaangoni’ Kamati ya Zitto

>Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo inaanza kuwahoji watu mbalimbali waliohusika katika uchunguzi au tuhuma za kashfa ya IPTL kuhusu uchotaji wa Sh306 bilioni katika akaunti ya Escrow iliyoko katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Mwananchi

Takukuru yaingilia kati mkataba wa ardhi Shule ya Msingi Wereni

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanzisha uchunguzi wa mikataba ya kubadilishana shamba kati ya Shule ya Msingi Wereni na mfanyabiashara, Thom Ndesamburo.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI KAMATI YA MAZINGIRA MTAA WA TAMBUKARELI MIKONONI MWA TAKUKURU KWA KUJIFANYA OFISA ARDHI ILI KUPATA FEDHA


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam inamshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira wa Mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kinyume cha kifungu cha sheria namba 302 cha sheria ya kanuni za adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Akizungumzia kukamatwa na kushikiliwa kwa mtuhumiwa huyo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam Donacian Kessy...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA WAZAZI KUCHAGUA WATU WENYE SHUGHULI ZAO KUWA WAJUMBE WA KAMATI ZA SHULE


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwapungia mkono wakazi wa Bagamoyo wakati wakiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa shule ya Msingi Jitegemee.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi mshahiri maarufu wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Ali Pongwe baada ya kutoa ushairi mzuri kabla ya kuanza kwa mkutano.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Magomeni wilaya ya Bagamoyo...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI ya Utendaji yaTFF imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi

KAMATI  ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi ili kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya michezo vya Kigamboni, Dar es Salaam na Tanga.
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani