Kamati ya Zitto yataka ukaguzi IPTL
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeagiza ukaguzi maalumu katika uuzaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL na utoaji wa fedha katika akaunti ya Escrow Benki Kuu Tanzania (BoT).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Kamati yataka ripoti ya IPTL
KAMATI ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka Serikali kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa sh. milioni 200 za IPTL katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza wiki hii, mkoani Dodoma. Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi10 Mar
Kamati ya Zitto yataka ATCL mpya kuundwa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-s5UAZZu97Bw/VIP0o6RWVhI/AAAAAAAG1uY/im10bdKrtgY/s72-c/121763be872e1c66f1283b5ade15117c.jpeg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-MeJhWwOHJTo/VKIqH0KRnaI/AAAAAAAAa_g/iHG_1_UoWNA/s72-c/tegeta%2Bescr.png)
TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM KUHUSIANA NA MIAMALA ILIYOFANYIKA KATIKA ACC YA ESCROW YA TAGETA NA UMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL
![](http://3.bp.blogspot.com/-MeJhWwOHJTo/VKIqH0KRnaI/AAAAAAAAa_g/iHG_1_UoWNA/s1600/tegeta%2Bescr.png)
bofya hapa usome taarifa zaidi
10 years ago
Mtanzania10 Sep
IPTL yamshtaki Zitto
![Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Zitto-Kabwe.jpg)
Zitto Kabwe
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).
Pia IPTL imewafungulia kesi watu wengine wawili, huku wakitaka kulipwa fidia ya Sh. bilioni 500.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo Septemba 4, mwaka huu kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay Felician Mwesiga...
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
IPTL yamburuza Zitto kortini
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na wengine wawili wakitaka kulipwa fidia ya shi bilioni 500 kwa kashfa alizotoa kimaandishi dhidi yao.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo Septemba 4, kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay Felician Mwesiga wa...
10 years ago
TheCitizen10 Nov
We’re facing threats over IPTL, says Zitto
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Mauzo ya IPTL yamwibua Zitto
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, ameeleza kushtushwa na taarifa za mauzo ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kwa Kampuni...
10 years ago
Habarileo06 Feb
Kamati ya Bunge yataka walimu wasajiliwe
KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.