Kampeini SITETEREKI Tulonge Afya yashika kasi
![](https://1.bp.blogspot.com/-l9riotC6Lrc/XtzEYlbwr8I/AAAAAAAEHhk/GDnu4DQl5oQXIAEObWPUIMil22eRlmCCACLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
Kampeini ya SITETEREKI Tulonge Afya ambayo ilizinduliwa hivi karibuni ikiwa ni mahususi kwa ajili ya vijana wa Kitanzania imeendelea kushika kasi. SITETEREKI ni jukwaa maalum la mawasiliano ya kubadilisha tabia linalowalenga vijana huku lengo ikiwa ni kuwa kimbilio kwa vijana, kuwa sehemu ambayo vijana wataungana, wakiiamini na kuitegemea, inayowapa hamasa na taarifa zitakazowawezesha kujiboresha, na kuboresha maisha yao.
SITETEREKI itasaidia kuunganisha na kuboresha shughuli za mawasiliano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tbaJ3RbzZoE/XqiYL_gOK7I/AAAAAAAEG4Y/oyIId0s00e0GvMH59IrOvafPggC0zCftwCLcBGAsYHQ/s72-c/XS1A4831-2048x1365.jpg)
Tulonge Afya yazindua kipindi cha Uelimishaji Vijana Kwa njia ya Televisheni (Luninga)
![](https://1.bp.blogspot.com/-tbaJ3RbzZoE/XqiYL_gOK7I/AAAAAAAEG4Y/oyIId0s00e0GvMH59IrOvafPggC0zCftwCLcBGAsYHQ/s640/XS1A4831-2048x1365.jpg)
· Lengo ni kusaidia vipaumbele vya kimkakati kwa vijana wa Serikali ya Tanzania
Ili kukabiliana na changamoto za COVID-19 ambazo zimeathiri shughuli mbali mbali Nchini Tanzania, Programu ya USAID Tulonge Afya imezindua kipindi maalum cha TV cha moja kwa moja (yaani live) "Washa Kideo na Sitetereki" kipindi ambacho pia kitakuwa kikirusha moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii.
Malengo ya...
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mapigano yashika kasi Syria
9 years ago
Habarileo19 Nov
Bomoabomoa Dar yashika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Vita ya urais yashika kasi mtandaoni
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2575904/highRes/912662/-/maxw/600/-/1352oxxz/-/ikulu.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Vita dhidi ya ujangili yashika kasi
NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Kesi ya Suma JKT yashika kasi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mauaji ya watuhumiwa yashika kasi Mbeya
UTAMADUNI mbovu wa kujichukulia sheria mikononi umezidi kushika kasi mkoani Mbeya baada ya watu wawili kuuawa juzi katika matukio mawili tofauti.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Maandamano yashika kasi nchini Venezuela
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Michauno ya vijana Kriket yashika kasi