Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni tunaziona, tupembue mchele, chuya

Ni dhahiri kuwa wagombea urais hawa wawili, mmoja wao ifikapo Desemba mwaka huu atakuwa mbele ya bunge jipya la 11 kule Dodoma akizungumza na Watanzania wote, waliomchagua na waliomkataa, siku hiyo atajiuza mbele yao wote kwamba yeye ndiye chaguo la wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sikukuu zapaisha bei ya mchele

Bei ya mchele katika masoko na maduka mbalimbali mkoani hapa imezidi kupaa na ikidaiwa kuwa imesababishwa na sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchele waanza kupanda bei

SIKU chache baada ya serikali kuruhusu uuzwaji wa mchele nje ya nchi, zao hilo limeanza kupanda gharama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyabiashara aliyejitambulisha...

 

10 years ago

Habarileo

TTCL yawapa mchele yatima wa Mbagala

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa zawadi ya Sikukuu ya Pasaka kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini Dar es Salaam, kiitwacho Yatima Group Trust Fund.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchele wa Mbeya hatarini kupoteza soko

Wakati wafanyabiashara wengi wa mchele nchini wakiunadi wa Mbeya kwa ubora, hususan ule wa wilayani Kyela, wataalamu wa ubora wa vyakula wamesema uko hatarini kukosa soko la kimataifa kutokana na kupakwa mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za sukari, mchele zapanda Mbeya

Bei za sukari na mchele jijini Mbeya zimepanda, wakati mahindi yakishuka kulinganisha na kipindi kama hiki mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

Bei ya mchele, sukari kuendelea kudhibitiwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itaendelea kudhibiti bei za vyakula muhimu, ikiwemo mchele na sukari, ili kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi wake.

 

10 years ago

Michuzi

Ansaf, RCT waishauri Serikali juu ya ushuru wa mchele

BARAZA la Mchele nchini (RCT) kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (ANSAF), wameishauri serikali kutekeleza na kuendeleza sheria ya tozo ya ushuru wa forodha ya asilimia 75 kwa mchele unaotoka nje ya Shirikisho la Afrika Mashariki ili kuwaboreshea bei wakulima wa hapa nchini.


Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele, Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf,...

 

11 years ago

Bongo5

New Song: D triple Ft Ben Pol — Kiburi cha Mchele

D triple ni msanii Mpya aliye mshirikisha Ben Pol ngoma inaitwa “Kiburi cha Mchele” Producer Maneck

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ina uwezo wa kuzalisha mchele kutosheleza soko la EAC

Kumekuwa na wasiwasi juu ya uingizaji wa mchele kwa njia za magendo nchini Tanzania, hali ambayo inatajwa kuathiri thamani ya mchele unaozalishwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani