Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei za sukari, mchele zapanda Mbeya

Bei za sukari na mchele jijini Mbeya zimepanda, wakati mahindi yakishuka kulinganisha na kipindi kama hiki mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bei ya mchele, sukari kuendelea kudhibitiwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itaendelea kudhibiti bei za vyakula muhimu, ikiwemo mchele na sukari, ili kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi wake.

 

5 years ago

Michuzi

BEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza na wandishi wa habari leo katika mkutano wa pamoja na Waziri wa Kilimo ambapo wametangaza bei mpya ya sukari na kutoa onyo kwa wafanyabiashara ambao watapandisha bei kiholela.Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga (kulia) akitangaza bei mpya ya sukari nchini baada ya sukari kupanda ghafla katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Corona, pembeni yake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.
Charles James, Michuzi TVSERIKALI...

 

5 years ago

CCM Blog

NYANYA ZAPANDA BEI DODOMA

   SABABU ni mvua! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wafanyabiashara wa zao la nyanya kuitaja mvua kama sababu iliyochangia kupanda kwa bei ya zao hilo kwa siku za hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini na Dodoma ikiwemo.

Kwa siku za hivi karibuni zao la nyanya limeshika umaarufu mkubwa midomoni mwa watu kutokana na kupotea kwake sokoni na zinapopatikana basi bei yake imekua juu tofauti na ilivyozoeleka.

Michuzi Blogu imefanya uchunguzi wake katika masoko ya Sabasaba na Majengo ambapo...

 

9 years ago

Habarileo

Bidhaa zapanda bei Zanzibar

WANANCHI wengi wa Zanzibar wanalazimika kutumia fedha za ziada kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za lazima ikiwemo chakula baada ya bei ya bidhaa muhimu kupanda bei, imebainika.

 

10 years ago

Mwananchi

Sikukuu zapaisha bei ya mchele

Bei ya mchele katika masoko na maduka mbalimbali mkoani hapa imezidi kupaa na ikidaiwa kuwa imesababishwa na sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchele waanza kupanda bei

SIKU chache baada ya serikali kuruhusu uuzwaji wa mchele nje ya nchi, zao hilo limeanza kupanda gharama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyabiashara aliyejitambulisha...

 

10 years ago

StarTV

Bei za vyakula, bidhaa Dar zapanda.

Na Epiphania Magingo,

Dar es Salaam.

 

Zikiwa zimesalia siku chache za kusherehekea sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za vyakula na bidhaa mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeonekana kupanda kwa kasi na kufanya wanunuzi wengi kushindwa kununua bidhaa hizo.

 

Changamoto hii imekuwa ikionekana kila inapokaribia msimu wa sikukuu kubwa ambayo licha ya kukemewa lakini imeendelea kujitokeza na kuwa tatizo sugu linalowaathiri wananchi wengi.

 

Ni katika soko la Kariakoo Jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vifaa vya shule zapanda kiholela Tanga

Ongezeko la bei za sare na vifaa vya shule linalofanywa na wafanyabiashara jijini hapa, limewaweka wazazi njiapanda.

 

11 years ago

CloudsFM

BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.

Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.

“Tabia hii si nzuri na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani