Sikukuu zapaisha bei ya mchele
Bei ya mchele katika masoko na maduka mbalimbali mkoani hapa imezidi kupaa na ikidaiwa kuwa imesababishwa na sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Mchele waanza kupanda bei
SIKU chache baada ya serikali kuruhusu uuzwaji wa mchele nje ya nchi, zao hilo limeanza kupanda gharama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyabiashara aliyejitambulisha...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Bei za sukari, mchele zapanda Mbeya
11 years ago
Habarileo14 May
Bei ya mchele, sukari kuendelea kudhibitiwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itaendelea kudhibiti bei za vyakula muhimu, ikiwemo mchele na sukari, ili kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi wake.
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Kumekucha! Mbuzi wa sikukuu wapo Mbezi na Vingunguti, bei chee!
Kumekucha jijini Dar, ni offer ya aina yake katika msimu huu wa sikukuu za X-Mass na Mwaka Mpya, mbuzi wanono kwa ajili yako na familia yako wanapatikana Mbezi ya Kimara na Vingunguti jijini Dar es salaam kwa bei nafuu sana.
Pia wanafaa kwa nyamachoma, mahotelini, nyumbani na kumbi za starehe.
Weka oda yako sasa kwa kupiga simu namba: 0787 589 318
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WAASWA KUTOPANDISHA BEI YA NYAMA MSIMU HUU WA SIKUKUU
Akizungumza jana Mei 18,2020 jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Mhe.Ulega amemtaka pia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Bw. Jumanne Shauri ndani ya siku saba kuhakikisha wanawapeleka wafanyabiashara wanaofanya biashara katika machinjio ya vingunguti kujionea eneo jipya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-r8og0UKi4iQ/VJu9QskTLpI/AAAAAAAG5uU/pVCDQ4h3j4M/s72-c/IMG_2701.jpg)
MAMBO YA VITOWEO VYA SIKUKUU BEI YAKE HUWA MOTO KIDOGO .!
![](http://1.bp.blogspot.com/-r8og0UKi4iQ/VJu9QskTLpI/AAAAAAAG5uU/pVCDQ4h3j4M/s1600/IMG_2701.jpg)
10 years ago
Habarileo04 Apr
TTCL yawapa mchele yatima wa Mbagala
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa zawadi ya Sikukuu ya Pasaka kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini Dar es Salaam, kiitwacho Yatima Group Trust Fund.
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Kampeni tunaziona, tupembue mchele, chuya
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Mchele wa Mbeya hatarini kupoteza soko