Ansaf, RCT waishauri Serikali juu ya ushuru wa mchele
BARAZA la Mchele nchini (RCT) kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (ANSAF), wameishauri serikali kutekeleza na kuendeleza sheria ya tozo ya ushuru wa forodha ya asilimia 75 kwa mchele unaotoka nje ya Shirikisho la Afrika Mashariki ili kuwaboreshea bei wakulima wa hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele, Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Jan
Waishauri serikali kufufua Nasaco
JUMUIYA ya Mabaharia nchini (JMT), imeiomba serikali kufufua Shirika la Taifa la Wakala wa Meli Tanzania (Nasaco), ili kuwa na chombo cha kitaifa kitakachosimamia maslahi ya nchi kwenye sekta hiyo na kuondokana na ubadhirifu unaofanywa bandarini.
10 years ago
Habarileo02 Mar
Waishauri serikali kuanzisha korti maalumu za rushwa
VIONGOZI wa vyama vya siasa mkoani Morogoro, wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuanzisha mahakama maalumu ya kushughulikia kesi za rushwa kuongeza ufanisi wa kazi na utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru).
9 years ago
StarTV23 Nov
Vijana walioathirika na Dawa Za Kulevya waishauri Serikali kutoa elimu
Vijana walioathirika na dawa za Kulevya nchini wameishauri Serikali ianze kutoa elimu ya kutambua athari ya utumiaji wa dawa hizo ili kukabiliana na athari ambayo inaweza kujitokeza hapo baadae na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.
Ushauri huo umetolewa na Vijana waliojitambua baada ya kutumia dawa za kulevya kwa muda mrefu ambazo zilisababisha baadhi yao kupoteza masomo, kazi na kutengwa na jamii.
Frank John ni Mkurugenzi wa kituo cha Ties that Bind Recovery ambaye pia ni muathirika wa dawa...
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali kushusha ushuru wa mafuta leo?
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.
10 years ago
MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
5 years ago
MichuziSERIKALI YAWATAKA MAAFISA MADINI KUTHIBITISHA USHURU MIGODINI
Tamko hilo lilitolewa Mei 24, 2020 na Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akizungumza na Wachimbaji Wadogo wa Madini ya Dhahabu eneo la Lusu Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora alipotembelea eneo hilo kuangalia shughuli za uchimbaji madini.
Aidha, tamko hilo linafuatia kuwepo kwa malalamiko toka kwa wachimbaji wanaofanyakazi...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Serikali imeona mbali kuongeza ushuru sukari inayoagizwa nje
9 years ago
MichuziTFF YAIOMBA SERIKALI KUONDOA USHURU KWA VIFAA VYA MICHEZO.
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Ansaf yazindua jukwaa la kilimo
TAASISI isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (Ansaf) leo inatarajia kuzindua jukwaa la wadau watakaoangalia mazao ya mikunde na nafaka ili kuondoa changamo zinazowakabili wakulima. Akizungumza na waandishi...