Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imeona mbali kuongeza ushuru sukari inayoagizwa nje

Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16, iliyosomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya inaainisha mpango wa makusudi wa Serikali wa kuizuia sukari kutoka nje ya nchi kuingia katika soko la ndani kirahisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla akiwa kwenye ukaguzi wa kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani humo, kama sehemu ya kuangalia hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. Picha na Mpigapicha wetu.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...

 

11 years ago

Habarileo

Pamba yawekwa maji, sukari kuongeza uzito

WAKULIMA wa zao la pamba na wanunuzi wa zao hilo, wamekuwa ni chanzo cha kudhoofisha zao hilo, hivyo kushindwa kuingia katika ushindani wa soko.

 

10 years ago

Michuzi

MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 10,000 ZA MAKAZI YA WATUMISHI WA SERIKALI NA WA UMMA WAANZA KATIKA MAENEO MBALI MBALI NCHINI

Mhandisi Edwin Nnunduma toka wakala wa amajengo Tanzania (TBA)akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba mbili zinajengwa katika kila mkoa kwa ajili ya makazi ya majaji wakati wa ziara ya waandishi hao iliyolenga kujionea hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo. Moja ya jengo la kisasa lenye gorofa 4 lililopo Mbezi beach Dar es salam litakalopangishwa kwa watumishi wa Umma,jengo hilo liko katika hatua za mwisho kabla kuanza kupangishwa ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Tani 290,000 za sukari huagizwa nje

Serikali hulazimika kuagiza tani za sukari 290,000 kila mwaka ili kufidia pengo la uzalishaji wa sukari nchini, imeelezwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Sukari kutoka nje inavyoua viwanda vya nchini

MTZ UCHUMI HII SAFI.inddMTZ UCHUMI HII SAFI.indd>>TPC wataka itozwe kodi ya asilimia 100

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoendelea Afrika kupitia sekta mbalimbali za kiuchumi vikiwemo viwanda.
Licha ya umuhimu wa viwanda hivyo bado kumekuwa hakuna sera madhubuti zinazolenga kuboresha na kuendeleza
viwanda vya ndani.

Sekta hiyo bado inakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kuchelewesha malengo yaliokusudiwa ya kukuza uchumi na maisha bora kwa wananchi wake.

Sera zilizopo zinaruhusu kuuzwa kwa bidhaa mbalimbali...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE RITA KABATI AOMBA USHURU WA MAZIWA KUTOKA NJE YA NCHI UONGEZWE ILI KULINDA VIWANDA VYA NDANI

MBUNGE wa Viti Maalum mkoa wa Iringa, Rita Kabati ameiomba Serikali kuongeza kodi ya ushuru wa bidhaa ya maziwa kutoka nje ili kulinda viwanda vya ndani.

Aidha, Kabati ameipongeza Kampuni ya Kuzalisha Maziwa ya ASAS ya mjini Iringa kwa kutumia fursa ya kuongeza ushuru wa bidhaa kwa kuzalisha maziwa mengi.

Kabati ametoa ombi na pongezi hizo Bungeni jiini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Waziri wa Luhaga Mpina.

Mbunge huyo wa Viti Maalum alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kushusha ushuru wa mafuta leo?

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWATAKA MAAFISA MADINI KUTHIBITISHA USHURU MIGODINI

Na Asteria Muhozya, NzegaSERIKALI imesema Ushuru wowote unaotolewa kwenye Maeneo ya Migodi Nchini ni lazima uthibitishwe na Maafisa Madini walioko kwenye maeneo husika.
Tamko hilo lilitolewa Mei 24, 2020  na Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akizungumza na Wachimbaji  Wadogo wa Madini ya Dhahabu eneo la Lusu Wilayani Nzega  Mkoa wa Tabora alipotembelea eneo hilo kuangalia shughuli za uchimbaji madini.
Aidha, tamko hilo linafuatia kuwepo kwa malalamiko toka kwa wachimbaji wanaofanyakazi...

 

10 years ago

Michuzi

Ansaf, RCT waishauri Serikali juu ya ushuru wa mchele

BARAZA la Mchele nchini (RCT) kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (ANSAF), wameishauri serikali kutekeleza na kuendeleza sheria ya tozo ya ushuru wa forodha ya asilimia 75 kwa mchele unaotoka nje ya Shirikisho la Afrika Mashariki ili kuwaboreshea bei wakulima wa hapa nchini.


Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele, Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani