SERIKALI YAWATAKA MAAFISA MADINI KUTHIBITISHA USHURU MIGODINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-63PlB2Hj33Y/XszhErF9u-I/AAAAAAALrkg/hWvgjO8YFEQweYAut_ET95qC-vsOqpwNACLcBGAsYHQ/s72-c/4%2B%25281%2529.jpg)
Na Asteria Muhozya, NzegaSERIKALI imesema Ushuru wowote unaotolewa kwenye Maeneo ya Migodi Nchini ni lazima uthibitishwe na Maafisa Madini walioko kwenye maeneo husika.
Tamko hilo lilitolewa Mei 24, 2020 na Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akizungumza na Wachimbaji Wadogo wa Madini ya Dhahabu eneo la Lusu Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora alipotembelea eneo hilo kuangalia shughuli za uchimbaji madini.
Aidha, tamko hilo linafuatia kuwepo kwa malalamiko toka kwa wachimbaji wanaofanyakazi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fzxjgLbTXsY/U_sQ5izQ0GI/AAAAAAAGCNM/fxINydtpmsY/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
Madini Migodini yapo Salama- Maswi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi amewataka watanzania kuondoa dhana kuwa madini yanayochimbwa katika migodi mbalimbali nchini yanaibwa na wawekezaji wakubwa na kusisitiza kuwa, Wizara kupitia Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), wapo katika migodi yote nchini kuhakikisha kwamba madini hayo hayatoroshwi .
Maswi ameyasema hayo alipotembelea Mgodi wa kuchimba Makaa ya Mawe wa kampuni ya Tancoal eneo la Ngaka wilayani Mbinga ...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya Corona: Serikali yawataka Watanzania kuiamini serikali na kuchukua tahadhari
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7FSFx2brVXI/VBrPGqHWEbI/AAAAAAAGkQ8/y-GlMjFynOc/s72-c/unnamed%2B(75).jpg)
SERIKALI, MAKAMPUNI YA MADINI ‘KUWANOA’ WAZAWA KATIKA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-7FSFx2brVXI/VBrPGqHWEbI/AAAAAAAGkQ8/y-GlMjFynOc/s1600/unnamed%2B(75).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hPjaf_89fwI/VBrPCfElBeI/AAAAAAAGkQk/2vucvxi2qlk/s1600/unnamed%2B(76).jpg)
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali kushusha ushuru wa mafuta leo?
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5ScASxO7TXY/VCq67tj-ilI/AAAAAAAGmvk/IMGqw7n1nFw/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
MAAFISA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Maafisa Wakuu 35 kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini (South African National Defence College – NDC), wametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Septemba 30, 2014 kwa lengo la kujifunza kuhusu Sera ya Tanzania kuhusu vyanzo vya nishati nchini hususan mafuta, gesi, makaa ya mawe na uvumbuzi wa madini mengine na changamoto zake.
Maafisa hao waliongozwa na Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali G.M. Yekelo pamoja na Maafisa kutoka...
10 years ago
MichuziAnsaf, RCT waishauri Serikali juu ya ushuru wa mchele
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele, Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf,...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Serikali imeona mbali kuongeza ushuru sukari inayoagizwa nje
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-csSzHCPURUM/U9D5dhDAr7I/AAAAAAAF5tg/YSuap_UhDgo/s72-c/PIX+1.jpg)
SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA MATAPELI
![](http://2.bp.blogspot.com/-csSzHCPURUM/U9D5dhDAr7I/AAAAAAAF5tg/YSuap_UhDgo/s1600/PIX+1.jpg)
Serikali imewataka wananchi kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa mikopo kwa njia ya simu.
Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa Taasisi hizo zimekuwa zikitumia mitandao ya simu za mkononi kutapeli wananchi kwa kuwaraghai kuwa watawapatia mikopo.
Mwambene ameongeza kuwa...
9 years ago
MichuziSERIKALI YAWATAKA MADEREVA WA BRT KUZINGATIA MAFUNZO