Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madini Migodini yapo Salama- Maswi

Na Asteria Muhozya, Mbinga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi amewataka watanzania kuondoa dhana kuwa madini yanayochimbwa katika migodi mbalimbali nchini yanaibwa na wawekezaji wakubwa na kusisitiza kuwa, Wizara kupitia Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), wapo katika migodi yote nchini kuhakikisha kwamba madini hayo hayatoroshwi .
Maswi ameyasema hayo alipotembelea Mgodi wa kuchimba Makaa ya Mawe wa kampuni ya Tancoal eneo la Ngaka wilayani Mbinga ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWATAKA MAAFISA MADINI KUTHIBITISHA USHURU MIGODINI

Na Asteria Muhozya, NzegaSERIKALI imesema Ushuru wowote unaotolewa kwenye Maeneo ya Migodi Nchini ni lazima uthibitishwe na Maafisa Madini walioko kwenye maeneo husika.
Tamko hilo lilitolewa Mei 24, 2020  na Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akizungumza na Wachimbaji  Wadogo wa Madini ya Dhahabu eneo la Lusu Wilayani Nzega  Mkoa wa Tabora alipotembelea eneo hilo kuangalia shughuli za uchimbaji madini.
Aidha, tamko hilo linafuatia kuwepo kwa malalamiko toka kwa wachimbaji wanaofanyakazi...

 

9 years ago

StarTV

Maisha ya wenye uhitaji wa damu salama mkoani Singida yapo hatarini

Mkoa wa Singida unakabiliwa na  tatizo la upungufu wa  damu katika hospitali zake kwa zaidi ya asilimia 60, hali inayotishia uhai wa  maisha ya wanawake wajawazito na watoto wakati wa  kujifungua, watu waliopata ajali  pamoja na wagonjwa wengine wenye uhitaji wa damu salama  haraka.

Imeelezwa kuwa mkoa huo ambao kwa wastani huwa na mahitaji ya Uniti 8,000 za damu kwa  mwaka, umekuwa ukikusanya Uniti zisizozidi 3,000 kwa kipindi hicho hivyo kutotosheleza mahitaji.

Mtaalamu msaidizi wa damu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Maswi asafishwa

maswi

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ndg. Eliakim Maswi.

PRESS RELEASE – MASWI.doc 

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, ELIAKIM MASWI ASIMAMISHWA KAZI KWA MUDA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Eliakim Maswi. KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za kiafya migodini Tanzania

Wiki Hii katika Haba na Haba tunaangalia athari za kiafya zinazowakuta wananchi kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini.

 

10 years ago

Habarileo

Mfuko wa LAPF waingia migodini

MFUKO wa Pensheni wa LAPF umeanza kusambaza huduma zinazotokana na mfuko huo katika sekta ya migodi.

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi migodini waonywa utegemezi

WANANCHI ambao wanazunguka maeneo ya uwekezaji wa migodi ya dhahabu, wameonywa kuacha kutegemea kampuni zinazochimba madini hayo kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wakana mauaji migodini TZ

Wamekanusha madai ya mauaji ya wakazi wa eneo la Nyamongo linalozunguka mgodi wa machimbo ya dhahabu Wilayani Tarime

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani