Waishauri serikali kufufua Nasaco
JUMUIYA ya Mabaharia nchini (JMT), imeiomba serikali kufufua Shirika la Taifa la Wakala wa Meli Tanzania (Nasaco), ili kuwa na chombo cha kitaifa kitakachosimamia maslahi ya nchi kwenye sekta hiyo na kuondokana na ubadhirifu unaofanywa bandarini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Mar
Waishauri serikali kuanzisha korti maalumu za rushwa
VIONGOZI wa vyama vya siasa mkoani Morogoro, wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuanzisha mahakama maalumu ya kushughulikia kesi za rushwa kuongeza ufanisi wa kazi na utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru).
10 years ago
MichuziAnsaf, RCT waishauri Serikali juu ya ushuru wa mchele
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele, Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf,...
9 years ago
StarTV23 Nov
Vijana walioathirika na Dawa Za Kulevya waishauri Serikali kutoa elimu
Vijana walioathirika na dawa za Kulevya nchini wameishauri Serikali ianze kutoa elimu ya kutambua athari ya utumiaji wa dawa hizo ili kukabiliana na athari ambayo inaweza kujitokeza hapo baadae na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.
Ushauri huo umetolewa na Vijana waliojitambua baada ya kutumia dawa za kulevya kwa muda mrefu ambazo zilisababisha baadhi yao kupoteza masomo, kazi na kutengwa na jamii.
Frank John ni Mkurugenzi wa kituo cha Ties that Bind Recovery ambaye pia ni muathirika wa dawa...
11 years ago
Daily News03 Feb
Litigation involving Nasaco block rages
Daily News
THE dispute over the provision of consultancy services for the refurbishment of the former Nasaco building situated in the centre of Dar es Salaam has finally reached the Court of Appeal with an architectural consultancy company, Ramani Consultant Limited, ...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Mbeya City waishauri Bodi ya LigiÂ
KLABU ya Mbeya City imetoa ushauri kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa na utaratibu wa kupanga na kutoa mapema ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara kuziwezesha timu shiriki kujiandaa...
10 years ago
StarTV30 Dec
Wafugaji Longido kufufua majosho.
Na Ramadhani Mvungi,
Arusha.
Wafugaji katika Kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha wameanza mpango wa kufufua upya matumizi ya majosho ya kuogeshea mifugo.
Hatua hii inalenga kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa yakisumbua mifugo kwa muda mrefu na kuwasababishia hasara kubwa.
Mwenyekiti wa umoja wa wafugaji wa Kata Tingatinga Ally Marandu aliiambia Startv iliyowatembelea wafugaji hao kuwa utaratibu unaotumika ni kwa kila mfugaji kuchangia kiasi cha fedha kwa kila...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Mwekyembe ajivunia kufufua TRL
MOJA ya mafanikio ya wazi ya Serikali ya Awamu ya Nne katika usafirishaji, ni kufufuliwa kwa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambalo lilikuwa limekufa na kupoteza uwezo wake wa kiuendeshaji. Akizungumza katika semina ya madereva wa treni mkoani Dodoma jana, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alieleza namna shirika hilo lilivyokuwa hoi mwaka jana na kufafanua kazi iliyofanyika kwa muda mfupi kulifufua na matarajio yake.