Mwekyembe ajivunia kufufua TRL
MOJA ya mafanikio ya wazi ya Serikali ya Awamu ya Nne katika usafirishaji, ni kufufuliwa kwa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambalo lilikuwa limekufa na kupoteza uwezo wake wa kiuendeshaji. Akizungumza katika semina ya madereva wa treni mkoani Dodoma jana, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alieleza namna shirika hilo lilivyokuwa hoi mwaka jana na kufafanua kazi iliyofanyika kwa muda mfupi kulifufua na matarajio yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Jan
Waishauri serikali kufufua Nasaco
JUMUIYA ya Mabaharia nchini (JMT), imeiomba serikali kufufua Shirika la Taifa la Wakala wa Meli Tanzania (Nasaco), ili kuwa na chombo cha kitaifa kitakachosimamia maslahi ya nchi kwenye sekta hiyo na kuondokana na ubadhirifu unaofanywa bandarini.
10 years ago
StarTV30 Dec
Wafugaji Longido kufufua majosho.
Na Ramadhani Mvungi,
Arusha.
Wafugaji katika Kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha wameanza mpango wa kufufua upya matumizi ya majosho ya kuogeshea mifugo.
Hatua hii inalenga kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa yakisumbua mifugo kwa muda mrefu na kuwasababishia hasara kubwa.
Mwenyekiti wa umoja wa wafugaji wa Kata Tingatinga Ally Marandu aliiambia Startv iliyowatembelea wafugaji hao kuwa utaratibu unaotumika ni kwa kila mfugaji kuchangia kiasi cha fedha kwa kila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilpOJZE7gV6YRA-PLL-uFYOmOzfZnmV92UVMdnqcpGcOP30v4dXdGvHADaRsAEdsqIEUBvcIi8Y84ah7s9sGy24B/mahaba.jpg)
MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi9Hbi1a1ZwpWNzfrTRrgnUa6be4zk1HirALyCqa5ASzhVaHdbwmF1ifo1GOgQJ3ff-nhk*r2yUaAXS7nRHaGYvo/mahaba.jpg)
MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA -2
10 years ago
Habarileo07 Feb
Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mbinu za kufufua penzi lenu
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
TaCRI yapongeza kufufua kahawa
MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahimu Msengi, ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini (TaCRI) kwa jitihada zake inazofanya kwa kushirikiana na halmashauri za wilaya nchini kufufua zao la...
10 years ago
Habarileo06 Apr
JK ajivunia miaka 10 ya mafanikio
SERIKALI ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka 2025 ambao unalenga kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.