Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA -2

Namshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo tunapokutana tena katika busati letu la mahaba, kuendelea kujadiliana kuhusu mada tuliyoianza wiki iliyopita ya mbinu za kufufua penzi lililokufa. Kabla hatujaendelea, tujikumbushe kwa kifupi tulichojadiliana wiki iliyopita. Nilikufafanulia tafsiri ya penzi lililokufa ni ile hali ya kuishi na mpenzi wako ambaye mlipendana sana mwanzoni lakini sasa kila kitu kimebadilika. Hampendani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa. Ni wiki nyingine tunapokutana kwenye busati letu ambapo tunajuzana na kujadiliana mambo mbalimbali kuhusu uhusiano wa kimapenzi. Nakushukuru wewe unayetuma ujumbe mfupi ukitoa maoni, kuchangia au kutaka ushauri kuhusu mambo mbalimbali, hata kama hujajibiwa elewa kwamba ujumbe wako umefika na utafanyiwa kazi.
Mada ya leo ni maalum kwa watu ambao tayari mpo kwenye uhusiano wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbinu za kufufua penzi lenu

Je, Unajua kuwa sikukuu ya wapendanao imewadia ? Jifunze mbinu za kufufua penzi lako usiachwe pekee yako .

 

10 years ago

GPL

UNATAKA KUREJESHA PENZI LILILOKUFA?

ASALAMALEIKUM ndugu zangu Waislamu ambao mpo ndani ya mfungu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Bila shaka shaka swaumu inapanda na ishallah Mungu atawafanyia wepesi mtaumaliza mwezi huu salama. Nikirudi katika mada yangu ya leo, nazungumza zaidi na wale ambao walikuwa wapenzi lakini kutokana na sababu mbalimbali walifikia hatua ya kutofautiana. Penzi lao likaota mbawa. Wameona sera zao haziendani, wakaamua kuachana. Kila mmoja...

 

9 years ago

Habarileo

Waishauri serikali kufufua Nasaco

JUMUIYA ya Mabaharia nchini (JMT), imeiomba serikali kufufua Shirika la Taifa la Wakala wa Meli Tanzania (Nasaco), ili kuwa na chombo cha kitaifa kitakachosimamia maslahi ya nchi kwenye sekta hiyo na kuondokana na ubadhirifu unaofanywa bandarini.

 

10 years ago

Habarileo

Mwekyembe ajivunia kufufua TRL

MOJA ya mafanikio ya wazi ya Serikali ya Awamu ya Nne katika usafirishaji, ni kufufuliwa kwa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambalo lilikuwa limekufa na kupoteza uwezo wake wa kiuendeshaji. Akizungumza katika semina ya madereva wa treni mkoani Dodoma jana, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alieleza namna shirika hilo lilivyokuwa hoi mwaka jana na kufafanua kazi iliyofanyika kwa muda mfupi kulifufua na matarajio yake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TaCRI yapongeza kufufua kahawa

MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahimu Msengi, ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini (TaCRI) kwa jitihada zake inazofanya kwa kushirikiana na halmashauri za wilaya nchini  kufufua zao la...

 

10 years ago

StarTV

Wafugaji Longido kufufua majosho.

Na Ramadhani Mvungi,

Arusha.

 

Wafugaji katika Kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha wameanza mpango wa kufufua upya matumizi ya majosho ya kuogeshea mifugo.

 

Hatua hii inalenga kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa yakisumbua mifugo kwa muda mrefu na kuwasababishia hasara kubwa.

 

Mwenyekiti wa umoja wa wafugaji wa Kata Tingatinga Ally Marandu aliiambia Startv iliyowatembelea wafugaji hao kuwa utaratibu unaotumika ni kwa kila mfugaji kuchangia kiasi cha fedha kwa kila...

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila akwama kufufua ya Escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani