Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji Longido kufufua majosho.

Na Ramadhani Mvungi,

Arusha.

 

Wafugaji katika Kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha wameanza mpango wa kufufua upya matumizi ya majosho ya kuogeshea mifugo.

 

Hatua hii inalenga kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa yakisumbua mifugo kwa muda mrefu na kuwasababishia hasara kubwa.

 

Mwenyekiti wa umoja wa wafugaji wa Kata Tingatinga Ally Marandu aliiambia Startv iliyowatembelea wafugaji hao kuwa utaratibu unaotumika ni kwa kila mfugaji kuchangia kiasi cha fedha kwa kila...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji Pera wahitaji majosho

WAFUGAJI wa vijiji vya Mbala, Pingo na Chamakweza, Kata ya Pera, wamesema chanzo cha kuzagaa mifugo na kusababisha migogoro baina yao na wakulima ni kutokana na ukosefu wa majosho. Walisema...

 

11 years ago

Habarileo

Wafugaji Longido wampa Balozi ardhi ya bure

JAMII ya wafugaji wa kijiji cha Lesingeita, Mundarara wilayani Longido Mkoa wa Arusha, imekubali kutoa bure ardhi yao ya malisho kwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Batilda Burian ijengwe shule ya kimataifa iwezeshe watoto wao kupata elimu ya uhakika.

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinapa yamaliza migogoro Longido

MIGOGORO ya wafugaji na wakulima katika Tarafa ya Enduimeti, Wilaya ya Longido, mkoani Arusha imedhibitiwa baada ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa), kutoa elimu kwa makundi hayo ikiwamo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LAAC kuwashughulikia watendaji Longido

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) inakusudia kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria baadhi ya watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha kutokana na kinachoelezwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla ziarani Wilaya ya Longido

Naibu Waziri wa Maji,Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Longido mkoani Arusha ikiwa ni muendelezo wa ziara za kukagua miradi mbali mbali ya maji hapa nchini. 
Katika ziara yake hiyo,alikutana na viongozi wa wilaya hiyo ya Longido na kuiagiza kampuni ya Haward Humfrey iliyofanya usanifu mradi wa maji wa Kisima cha Tembo ichukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kutopewa kazi zozote za miradi ya maji nchini kwa kusanifu mradi wa maji wa thamani ya shilingi milioni 253, mradi ambao...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Mambo 10 niliyoshuhudia katika uchaguzi Longido’

Hatimaye mchakato wa kumpata Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano umemalizika salama na Dk John Magufuli  wa CCM, ameibuka mshindi.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA, LONGIDO NA MONDULI LEO

Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia mkutano wa hadhara leo katika eneo la Namanga, Longido mkoani Arusha leo. (Picha zote na Bashir Nkoromo) Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasikiliza mama waiokuwa wakichota maji katika eneo la mtaa wa madukani, Longido mkoani Arusha.Mbunge wa Afrika Mashariki, Agela Kizigha, akizungumza na kina mama wa eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha leo. wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wenza wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Longido registers only half of number of voters

More than 160 candidates have sailed through unopposed in villages ahead of today’s civic elections in Arusha Region.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani