MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA
![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilpOJZE7gV6YRA-PLL-uFYOmOzfZnmV92UVMdnqcpGcOP30v4dXdGvHADaRsAEdsqIEUBvcIi8Y84ah7s9sGy24B/mahaba.jpg)
NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa. Ni wiki nyingine tunapokutana kwenye busati letu ambapo tunajuzana na kujadiliana mambo mbalimbali kuhusu uhusiano wa kimapenzi. Nakushukuru wewe unayetuma ujumbe mfupi ukitoa maoni, kuchangia au kutaka ushauri kuhusu mambo mbalimbali, hata kama hujajibiwa elewa kwamba ujumbe wako umefika na utafanyiwa kazi. Mada ya leo ni maalum kwa watu ambao tayari mpo kwenye uhusiano wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi9Hbi1a1ZwpWNzfrTRrgnUa6be4zk1HirALyCqa5ASzhVaHdbwmF1ifo1GOgQJ3ff-nhk*r2yUaAXS7nRHaGYvo/mahaba.jpg)
MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA -2
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mbinu za kufufua penzi lenu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcIMJqFuEuMvvhOT2MpHyjBXpdLYfHtYI1pBG5nantAOfseYaFYajS6kkBbU7ipJfQSe1VBTMcvL2MEhLO-fI4LX/MaishanaMahusiano.jpg?width=650)
UNATAKA KUREJESHA PENZI LILILOKUFA?
9 years ago
Habarileo03 Jan
Waishauri serikali kufufua Nasaco
JUMUIYA ya Mabaharia nchini (JMT), imeiomba serikali kufufua Shirika la Taifa la Wakala wa Meli Tanzania (Nasaco), ili kuwa na chombo cha kitaifa kitakachosimamia maslahi ya nchi kwenye sekta hiyo na kuondokana na ubadhirifu unaofanywa bandarini.
10 years ago
Habarileo11 Sep
Mwekyembe ajivunia kufufua TRL
MOJA ya mafanikio ya wazi ya Serikali ya Awamu ya Nne katika usafirishaji, ni kufufuliwa kwa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambalo lilikuwa limekufa na kupoteza uwezo wake wa kiuendeshaji. Akizungumza katika semina ya madereva wa treni mkoani Dodoma jana, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alieleza namna shirika hilo lilivyokuwa hoi mwaka jana na kufafanua kazi iliyofanyika kwa muda mfupi kulifufua na matarajio yake.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
TaCRI yapongeza kufufua kahawa
MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahimu Msengi, ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini (TaCRI) kwa jitihada zake inazofanya kwa kushirikiana na halmashauri za wilaya nchini kufufua zao la...
10 years ago
StarTV30 Dec
Wafugaji Longido kufufua majosho.
Na Ramadhani Mvungi,
Arusha.
Wafugaji katika Kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha wameanza mpango wa kufufua upya matumizi ya majosho ya kuogeshea mifugo.
Hatua hii inalenga kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa yakisumbua mifugo kwa muda mrefu na kuwasababishia hasara kubwa.
Mwenyekiti wa umoja wa wafugaji wa Kata Tingatinga Ally Marandu aliiambia Startv iliyowatembelea wafugaji hao kuwa utaratibu unaotumika ni kwa kila mfugaji kuchangia kiasi cha fedha kwa kila...
10 years ago
Habarileo07 Feb
Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.