Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA IRINGA


Na Veronica Kazimoto,Iringa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea na kampeni ya elimu kwa mlipakodi ambapo kwa sasa inafanya kampeni hiyo katika Mkoa wa Iringa na wilaya zake ikitoa elimu ya kodi kwa kuwatembelea wafanyabiashara mbalimbali kwenye biashara zao.

Akizungumzia kampeni hiyo, Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi Bi. Rose Mahendeka alisema kuwa TRA imejipanga kuwafikia wafanyabiashara mahali walipo ili kuwapatia elimu ya kodi ikiwa ni pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA IRINGA WAFURAHIA KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI


Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Ernesta Shirima akimuelimisha mfanyabiashara wa duka la jumla na rejareja wa Manispaa ya Iringa kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea kufanyika mkoani humo.
Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakikagua Cheti cha Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) cha Kampuni ya Ever Green Wood iliyopo katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA: KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI - MWANZA

 Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani...

 

5 years ago

Michuzi

RC SHIGELA AIPONGEZA TRA KUENDESHA KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI


Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akizungumza na timu ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea jijini humo.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akizungumza na timu ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea jijini humo.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA 1,950 WAPATIWA ELIMU YA KODI MKOANI IRINGA

Na Veronica Kazimoto, Iringa
Jumla ya wafanyabiashara 1,950 wa Mkoa wa Iringa wamefikiwa na kupatiwa elimu ya kodi wakati wakampeni ya elimu kwa mlipakodi iliyofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 27 Februari,2020.

Kampeni hiyo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kuwafikia na kuwaelimisha baadhi ya wafanyabiashara wa Wilaya za Kilolo, Manispaa ya Iringa na Mufindi.

Akizungumza mara baada ya kuhitimisha kampeni hiyo mkoani humo, Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi wa TRA...

 

10 years ago

Michuzi

Kampeni ya Usalama barabarani ya“Wait to Send”yawafikia madereva Mbeya

Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mapunda Ahmed (kulia)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Simon Mwalugu kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya”Wait to Send” unaohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha vyombo hivyo.Katikati ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini Macfadyne...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPENI YA NSSF KWANZA YAWAFIKIA WATU WENGI MKOANI MBEYA


Wananchi wa Kijiji cha Igamba ambao ni wakulima wa Kahawa wakipiga picha ya pamoja baada ya kupata elimu na kujiunga na NSSF kama wanachama wa Hiari chini ya Mpango wa Wakulima Scheme ambao utawasaidia Kupata Matibabu bure na Kujipatia Mikopo ya pembejeo.Maafisa wa NSSF mkoa wa Mbeya wakiwaandikisha watu kutoka Sekta binafsi waliokusanyika kwenye kituo cha mabasi cha mbalizi kwenye kampeni maalum ya NSSF ya kutoa elimu na kuandikisha wanachama Mkoani mbeya ili kuongeza wigo wa wanachama.

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA“WAIT TO SEND”YAWAFIKIA MADEREVA MBEYA‏

Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mkunde Said  (kushoto)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Fikiri Sabigo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  ya”Wait to Send” unaohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MPAKA WA KASUMULU WAIPONGEZA TRA KWA KUWAPA ELIMU YA KODI

 NA MWANDISHI WETU- MBEYA
Wafanyabiashara katika mpaka wa Kasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi uliopo wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutoa elimu ya Kodi ambayo inawaongezea uelewa wa masuala ya Kodi na ari ya kuilipa kwa hiari.
Hayo yameyasemwa na wafanyabiashara wa mpaka wa Kasumulu mara baada ya kutembelewa katika b8ashara zao na kupewa elimu ya ulipaji kodi na maofisa wa TRA wanaofanya kampeni maalumu ya elimu ya Kodi  ya mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

Elimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawafikia Vijana wa Mbeya Vijijini

Na Genofeva Matemu – Maelezo, Mbeya
Vijana wa Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbeya Vijijini wametakiwa kutokuwa na tafsiri hasi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana kuwa ni takrima inayotolewa na serikali kwa vijana hivyo kuchezea fedha hizo na kushindwa kurejesha mkopo watakaouomba kupitia mfuko huo.
Hayo yamesemwa na Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wakati wa semina iliyotolewa kwa Vijana wa Mbeya Vijijini kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Stadi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani