KAMPENI YA SIMAMA NA MIMI NDANI YA VIDEO
![](http://api.ning.com:80/files/Qyn*Uz1WnG98ug3ympxu8tLGJjEuIO2zzb0XqCYOm0yHsBU8eZ4UgOVsQ*RJMxja6hm7g9Ut6134ZGgOWyEyIzBFfuQjkqVH/1.jpg?width=650)
Baadhi ya wasanii katika kampeni hiyo ambao ni Shamsa Ford, Khadija Shahibu ‘Dida’na Kajala wakiwa katika picha ya pamoja. Hadija Shaban ‘Keisher’ na Salma Jabu ‘Nisha’ wakifanya mazoezi kabla ya kwenda kurekodi video.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Mar
Wanawake Mastaa wa Bongo Waki-shoot Video ya “Simama Nami”
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/kajala7651.jpg)
“Simama nami piga vita wauwaji wa maalbino pamoja tunaweza”
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/shilole_na_dida12.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/simamaa879.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/simama09.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/simama.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/anna_peter.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/qeen_dolene.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/madam.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/gracematata.jpg)
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
PICHA: Wanawake Mastaa wa Bongo Waki-shoot Video ya “Simama Nami”
Hizi ni baadhi ya picha za baadhi ya wanawake mastaa wa hapa bongo wakiwa katika utengenezaji wa video ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la Simama Nami ambao wameuimba maalumu kwa ajili ya kukemea mauaji ya walemavu wa ngozi ‘Albinos’. Baadhi ya mastaa hao, ni pamoja na Kajala, Shilole,Nisha, Madam Rita, Dida Shaibu, Sauda Mwilima, Anna Peter, shamsa Ford, Keisha na wengine wengi
“Simama nami piga vita wauwaji wa maalbino pamoja tunaweza”
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki
Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo bungeni, sasa December 16 2015 habari ya zamu ya Waziri mkuu wa Hispania. Waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy alipigwa ngumi usoni na kijana ambaye alikua […]
The post Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki appeared...
10 years ago
Bongo528 Feb
Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2zExn--dW5g/default.jpg)
10 years ago
CloudsFM30 Jan
WASTARA ACHAGULIWA KUWA BALOZI WA KAMPENI YA ‘NISAIDIE MIMI SHILINGI 500 NIPATE ELIMU’
9 years ago
Bongo518 Sep
Wakazi: Mil20 za kufanya kampeni si kitu ukilinganisha na sera nzuri zitakazonipa mil200’, adai hashangai wasanii kutumika kwenye kampeni (Video)
9 years ago
Bongo515 Dec
Video: Mr Blue – Baki na Mimi
![blue-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/blue-2-300x194.jpg)
Msanii wa bongo fleva Mr Blue ameachia video mpya ya single yake inaitwa “Baki na mimi” Video imeongozwa na Kwetu Studios.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!