Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA ACHAGULIWA KUWA BALOZI WA KAMPENI YA ‘NISAIDIE MIMI SHILINGI 500 NIPATE ELIMU’

Msanii wa Bongo Movie,Wastara Juma ameteuliwa kuwa balozi wa kampeni YA ‘Nisaidie mimi Shilingi 500 nipate elimu’’ambayo inalenga kuwasaidia watoto wa kike ambao wameshindwa kuendelea na masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukosa ada ambapo kampeni hiyo itaanzia katika mkoa wa Morogoro.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA AWA BALOZI WA MEDO KATIKA KUCHANGIA ELIMU

Meneja wa mradi huo, Bertha Gama (kushoto) na mwenyekiti wake Silas Masui (katikati) wakiwa na Wastara Juma. Afisa mahusiano wa mradi huo, Jimmy James na Bertha Gama wakisikiliza jambo.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara: Na mimi pia ni Binadamu.....

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ameyasema hayo jana kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha akiwa yupo mzigoni .

“Nafanya kile nachojickia kufanya na ninapofanya nahakikisha nafanya kwa juhudi na vizuri zaidi, Hisia za maumivu zinaweza kunifunga mdomo nikakosa la kuongea ila machoni ntaliaaaaa,,Najaribu kufanya kila zuri kulinda heshima na utu wangu ni vema kujua mimi pia kuna muda nakula,nalala,naoga pia kuna mazuri na mabaya katika jamii inayonizunguka tofauti na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sarafu ya 500/- ni kuporomoka kwa shilingi?

TAKRIBANI wiki mbili zimepita tangu sarafu ya sh.  500 zilipoingia kwenye mzunguko wa fedha na kuanza kutumika  baada ya mchakato wa kubadilisha fedha hizo kutoka kwenye noti kwenda kwenye sarafu...

 

9 years ago

Habarileo

MO achaguliwa kuwa mfanyabiashara bora wa Afrika

MFANYABIASHARA kijana wa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Ltd (MeTL), ametwaa tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika kwa mwaka huu akiwapiku washindani wenzake wanne akiwemo tajiri wa Afrika, Aliko Dangote.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI NGIRWA ACHAGULIWA TENA KUONGOZA BARAZA LA FAO

Mkutano wa 39 wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) uliofanyika katika Makao Makuu ya Shirikia hilo jijini Roma hapo tarehe 6 -13 Juni, 2015 umemchagua tena Balozi Wilfred Joseph Ngirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la FAO (Independent Chairperson of the FAO Council - ICC) kwa kipindi cha miaka miwili (2015-2017). 
Katika Mkutano huo ambapo ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri (NW) wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhe. Godfrey Weston Zambi (Mb), Balozi Ngirwa alikuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Samia Suluhu achaguliwa kuwa mgombea mwenza

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015 (picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Bongo5

Rooney achaguliwa kuwa nahodha mpya wa England

Kocha wa England, Roy Hodgson amemteua mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa. Rooney mwenye miaka 28 ambae pia ni nahodha ya timu ya Manchester United, amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu. Rooney aliwahi kuvaa kitambaa cha unahodha akiiongoza England kwenye mechi ya kufuzu […]

 

10 years ago

Bongo5

George Weah achaguliwa kuwa seneta nchini Liberia

Mchezaji soka wa zamani wa nchini Liberia, George Weah amepata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa senate nchini humo. Weah – ambaye mwaka 1995 alikuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika na wa mwisho kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama mcheza soka wa Ulaya na aliyechezea timu za AC Milan, Paris Saint Germain na Monaco alimshinda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani