Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI NGIRWA ACHAGULIWA TENA KUONGOZA BARAZA LA FAO

Mkutano wa 39 wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) uliofanyika katika Makao Makuu ya Shirikia hilo jijini Roma hapo tarehe 6 -13 Juni, 2015 umemchagua tena Balozi Wilfred Joseph Ngirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la FAO (Independent Chairperson of the FAO Council - ICC) kwa kipindi cha miaka miwili (2015-2017). 
Katika Mkutano huo ambapo ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri (NW) wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhe. Godfrey Weston Zambi (Mb), Balozi Ngirwa alikuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke achaguliwa kuongoza Nepal

Bunge nchini Nepal limemchagua mtetezi wa haki za wanawake Bidhya Devi Bhandari kuwa rais, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza kabisa kuwa rais nchini humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Hoseah achaguliwa kuongoza mapambano ya rushwa A.Mashariki

Uchaguzi huo umefanyika leo Jijini Entebe – Uganda, katika Mkutano Mkuu wa nane wa shirikisho hilo ulioanza leo.

 

10 years ago

Habarileo

Mukoba achaguliwa tena Rais wa CWT

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemrudisha madarakani rais wake, Gratian Mukoba na wasaidizi wake, hivyo kuwafanya waendelee kuwa madarakani hadi mwaka 2020.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Mbowe tena Chadema, achaguliwa kwa kishindo

Dar es Salaam. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana. Katika uchaguzi huo, Mbowe alipata kura 789 sawa na asilimia 97.3 na kumshinda mpinzani wake ambaye hakuwa na nguvu kubwa, Gambaranyera Mongateo aliyeambulia kura 20 sawa na asilimia 2.5 Hiki ni kipindi cha tatu kwa Mbowe kupewa ridhaa ya kuongoza chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Katika kinyang’anyiro hicho, wagombea walikuwa watano, wawili walienguliwa...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Stephen Keshi kuongoza tena Nigeria

Stephen Keshi amerejeshewa tena ukufunzi wa timu ya soka ya super eagles wiki mbili tu baada ya shikisho la Nigeria kumfuta.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe ateuliwa tena kuongoza Zanu-PF

Rais Robert Mugabe ameteuliwa tena kuongoza chama tawala nchini Zimbabwe na mke wake Grace akapewa wadhifa wa juu katika chama

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Mwamila kuongoza tena shirika la Nyumbu

RAIS Jakaya Kikwete amemteua kwa mara nyingine Profesa Burton Mwamila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumbu.

 

10 years ago

CloudsFM

WASTARA ACHAGULIWA KUWA BALOZI WA KAMPENI YA ‘NISAIDIE MIMI SHILINGI 500 NIPATE ELIMU’

Msanii wa Bongo Movie,Wastara Juma ameteuliwa kuwa balozi wa kampeni YA ‘Nisaidie mimi Shilingi 500 nipate elimu’’ambayo inalenga kuwasaidia watoto wa kike ambao wameshindwa kuendelea na masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukosa ada ambapo kampeni hiyo itaanzia katika mkoa wa Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani