Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Mwamila kuongoza tena shirika la Nyumbu

RAIS Jakaya Kikwete amemteua kwa mara nyingine Profesa Burton Mwamila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumbu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NYUMBU WAKABIDHI VICHANJA KWA TPA, JENERALI MABEYO ATOA SHUKRANI


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirila la Nyumbu Brigedia Jenerali Hashim Komba (kushoto) wakisaini hati ya makubaliano kati ya TPA na Shirika la Nyumbu kwa ajili ya kuendelea kutengeneza terminal treila na kufanya ukarabati wa terminal treila zilizoharibika.Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ,Jenerali Venance Mabeyo (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya TPA Profesa Ignas Rubaratuka na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe ateuliwa tena kuongoza Zanu-PF

Rais Robert Mugabe ameteuliwa tena kuongoza chama tawala nchini Zimbabwe na mke wake Grace akapewa wadhifa wa juu katika chama

 

10 years ago

BBCSwahili

Stephen Keshi kuongoza tena Nigeria

Stephen Keshi amerejeshewa tena ukufunzi wa timu ya soka ya super eagles wiki mbili tu baada ya shikisho la Nigeria kumfuta.

 

10 years ago

Vijimambo

BUSH KUONGOZA MAREKANI TENA KWA MARA YA TATU


Jeb Bush ni mwana wa rais George Bush na nduguye ya George W Bush waliokuwa marais wa Marekani
Aliyekuwa Gavana wa Florida kupitia tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Jeb Bush ameripotiwa kujiuzulu kutoka nyadhfa zake zote za bodi akijiandaa kuwania urais mwaka ujao.Gazeti la The WashingtonPost limenukuu ujumbe wake kutoka kwa msaidizi wake uliodai kwamba bwana Bush pia amejiuzulu katika bodi ya hazina yake ya elimu.Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 61 pia alitangaza mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI NGIRWA ACHAGULIWA TENA KUONGOZA BARAZA LA FAO

Mkutano wa 39 wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) uliofanyika katika Makao Makuu ya Shirikia hilo jijini Roma hapo tarehe 6 -13 Juni, 2015 umemchagua tena Balozi Wilfred Joseph Ngirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la FAO (Independent Chairperson of the FAO Council - ICC) kwa kipindi cha miaka miwili (2015-2017). 
Katika Mkutano huo ambapo ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri (NW) wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhe. Godfrey Weston Zambi (Mb), Balozi Ngirwa alikuwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka asifu kazi inayofanywa na Shirika la Nyumba (NHC)

1

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.

2

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na baadhi ya viongozi wa shirika la nyumba nchini NHC baada ya kuwasili kwenye banda hilo...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI

Na Hassan Hamad (OMKR)  Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa.  Mkutano huo pia umemchagua Prof. Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa kupata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4 nukta 3.  Aidha mkutano huo umemchagua Mhe. Juma Duni Haji kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kupata...

 

9 years ago

Raia Mwema

Mnajidai nyumbu wa Ngorongoro? Mtaliwa

MWANZONI niliposikia kauli hii, nikajiuliza huyu mama ana maana gani?

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nyumbu, pundamilia waibeba Serengeti

NYUMBU na pundamilia ni wanyamapori wenye historia ya kipekee wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa), inayoongoza kwa kuwa na vivutio bora vya utalii Barani Afrika.

Ukifika Senapa utawaona wakiwa katika makundi makubwa na misafara mirefu wakitafuta riziki ya malisho na kufurahia mazingira hai ya hifadhi hiyo.

Wanyama hawa ndiyo huipendezesha zaidi Senapa na kuitofautisha na hifadhi nyingine nchini. Ni kivutio kikubwa cha utalii katika hifadhi hiyo yenye hadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani