Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mukoba achaguliwa tena Rais wa CWT

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemrudisha madarakani rais wake, Gratian Mukoba na wasaidizi wake, hivyo kuwafanya waendelee kuwa madarakani hadi mwaka 2020.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Mukoba rais mpya Tucta

Gratian Mukoba, rais mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).

Gratian Mukoba, rais mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).

Na Ramadhan Hassan, Dodoma

RAIS wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba, amewabwaga ameshinda nafasi ya rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).

Mukoba alipata kura 172 huku mpinzani wake wa karibu, Mbaraka Igangula, akipata kura 110 na Peter Omollo alipata kura 68 wakati mwanahabari Dismas Lyasa aliambulia kura tano.

Hata hivyo, uchaguzi huo ulitawaliwa na mizengwe  miongoni wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mukoba awa Rais mpya Tucta

Gratian MukobaMKUTANO Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Mbowe tena Chadema, achaguliwa kwa kishindo

Dar es Salaam. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana. Katika uchaguzi huo, Mbowe alipata kura 789 sawa na asilimia 97.3 na kumshinda mpinzani wake ambaye hakuwa na nguvu kubwa, Gambaranyera Mongateo aliyeambulia kura 20 sawa na asilimia 2.5 Hiki ni kipindi cha tatu kwa Mbowe kupewa ridhaa ya kuongoza chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Katika kinyang’anyiro hicho, wagombea walikuwa watano, wawili walienguliwa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI NGIRWA ACHAGULIWA TENA KUONGOZA BARAZA LA FAO

Mkutano wa 39 wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) uliofanyika katika Makao Makuu ya Shirikia hilo jijini Roma hapo tarehe 6 -13 Juni, 2015 umemchagua tena Balozi Wilfred Joseph Ngirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la FAO (Independent Chairperson of the FAO Council - ICC) kwa kipindi cha miaka miwili (2015-2017). 
Katika Mkutano huo ambapo ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri (NW) wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhe. Godfrey Weston Zambi (Mb), Balozi Ngirwa alikuwa...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...

 

5 years ago

Michuzi

CWT IKUNGI YAWARUDISHA TENA VIONGOZI WAKE,DC MPOGOLO ATOA NENO


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Wilaya ya Ikungi mkoani Singida jana. kushoto ni Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Aran Jumbe na kulia ni Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ikungi, Ladislaus Nkuu.
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo na kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Winfrida Kunto.
Mwenyekiti Mpya wa CWT Wilaya ya Ikungi, Ladislaus Nkuu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya achaguliwa makamu wa rais wa ICC

Majaji wa mahakama ya kimataifa ICC wamemchagua jaji wa Kenya Joyce Aluoch kama makamu wa rais wa mahakama hiyo

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais CWT aitupia lawama Serikali

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba ameirushia lawama Serikali kwamba inatumia fursa ya upole wa walimu kuwakandamiza kwa kutowalipa madeni yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani