Mukoba rais mpya Tucta
Gratian Mukoba, rais mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
RAIS wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba, amewabwaga ameshinda nafasi ya rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Mukoba alipata kura 172 huku mpinzani wake wa karibu, Mbaraka Igangula, akipata kura 110 na Peter Omollo alipata kura 68 wakati mwanahabari Dismas Lyasa aliambulia kura tano.
Hata hivyo, uchaguzi huo ulitawaliwa na mizengwe miongoni wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Aug
Mukoba awa Rais mpya Tucta
MKUTANO Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Mukoba achaguliwa tena Rais wa CWT
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemrudisha madarakani rais wake, Gratian Mukoba na wasaidizi wake, hivyo kuwafanya waendelee kuwa madarakani hadi mwaka 2020.
9 years ago
Habarileo03 Dec
TUCTA yavutiwa na Rais Magufuli
SHIRIKISHO la Vyama Huru vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeunga mkono kazi inayofanywa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wake, Kassim Majaliwa kwa kuwa kinachofanywa na viongozi hao, ndicho ambacho wafanyakazi wamekuwa miaka yote wakitaka Serikali zilizotangulia, zifanye ili maslahi yao yawe mazuri.
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA
5 years ago
Bongo514 Feb
Rais Magufuli na TUCTA wakubaliana haya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewahakikishia viongzoi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kuimarisha zaidi ushirikiano kati yake na wafanyakazi kwa manufaa ya Taifa.
Rais Magufuli amefanya mazungumzo hayo, Alhamisi hii Ikulu jijini Dar es salaam, sambamba na hilo amesema kuwa pamoja na kuimarisha ushirikiano huo serikali iko tayari kupokea ushauri na maoni yatakayotolewa na vyama vya wafanyakazi wenye...
11 years ago
Mwananchi04 May
Tucta ifuatilie utekelezaji wa ahadi za Rais
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE, TUCTA WAJADILI JINSI YA KUBORESHA MASLAHI NA USTAWI WA WAFANYAKAZI
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini.
Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar...
9 years ago
IPPmedia31 Aug
TTU president Gratian Mukoba
IPPmedia
TTU president Gratian Mukoba
IPPmedia
The Tanzania Local Government Workers Union (TALGWU) has given the government 21 days to clear 18b/- it owes its members. The new demand has been given a week after the Tanzania Teachers Union (TTU) also required the government to pay its ...