Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tucta ifuatilie utekelezaji wa ahadi za Rais

Katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam, Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake kwa Taifa alitoa ahadi kwa wafanyakazi katika maeneo mawili makubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wahoji utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete

Wadau wa maendeleo mkoani Iringa, wameitaka Serikali itekeleza ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kutengeneza Barabara ya Iringa-Msembe (Hifadhi ya Taifa ya Ruaha) yenye urefu wa kilomita 114 kwa kiwango cha lami ikiwa ni jitihada za kukuza uchumi wa mikoa ya Kusini.

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA TARAFA SIMIYU WAKABIDHIWA PIKIPIKI UTEKELEZAJI AHADI YA RAIS MAGUFULI










Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimkabidhi kofia Afisa Tarafa wa Dutwa, wilayani Bariadi Bi. Isabela Nyaulingo ikiwa ni ishara ya kumkabidhi pikipiki katika tukio la makabidhiano ya pikipiki zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa Maafisa Tarafa ambazo zimekabidhiwa Mei 08, 2020 Mjini Bariadi.

Baadhi ya pikipiki zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa Maafisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ahoji utekelezaji ahadi kwenye kampeni

MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (CHADEMA), ameihoji serikali kama ni halali kwa mgombea kutekeleza ahadi alizozitoa siku za nyuma wakati kampeni zikiendelea katika uchaguzi mdogo. Akiuliza swali bungeni jana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi kapu zima, utekelezaji kiini macho

Mara nyingi viongozi wa klabu na vyama vya soka nchini wamekuwa wakilalamikiwa kutokana na namna wanavyoongoza. Utawala mbovu usiosima kwenye mistari ya katiba za vyama au klabu umekuwa kiini cha migogoro ya mara kwa mara.

 

10 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA AANZA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKE MOSHI MJINI

Katika hali isiyotarajiwa  na wengi katika Jimbo la Moshi Mjini, Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Davis Mosha ameanza utekelezaji wa ahadi zake katika Jimbo hilo,  wiki chache baada ya kuzungumza na wanamuziki na wasanii kuhusu kazi zao na wasanii hao kuomba kupata kituo cha Redio cha kisasa na Studio ya kisasa ambavyo vitaweza kufanya kazi zao kwa ubora zaidi na pia kufika mbali.Katika kutekeleza hilo Mh. Davis Mosha amekwishaanza ujenzi wa Studio ya Kisasa ya Kituo cha...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020


Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya KikweteSALAMU KUTOKA KWA MHESHIMIWA RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE (2015-2020)

Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.

Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE WA MBINGA MJINI SIXTUS MAPUNDA 2015-2020

Jimbo la Mbinga mjini lililopo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, lina jumla ya Kata 19, na ni miongoni mwa majimbo ambayo yamebahatika kupata Wabunge Vijana. Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015, Jimbo hilo lilipahatika kumpata Mbunge Kijana anayeelezewa kuwa ni mchapakazi mahiri.

Baada ya mbunge huyo Mh. Sixtus Mapunda kukaribia kuhitimisha miaka yake ya Ubunge katika jimbo hilo, yeye na timu yake wametayarisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM sambamba na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani