Rais Magufuli na TUCTA wakubaliana haya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewahakikishia viongzoi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kuimarisha zaidi ushirikiano kati yake na wafanyakazi kwa manufaa ya Taifa.
Rais Magufuli amefanya mazungumzo hayo, Alhamisi hii Ikulu jijini Dar es salaam, sambamba na hilo amesema kuwa pamoja na kuimarisha ushirikiano huo serikali iko tayari kupokea ushauri na maoni yatakayotolewa na vyama vya wafanyakazi wenye...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Dec
TUCTA yavutiwa na Rais Magufuli
SHIRIKISHO la Vyama Huru vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeunga mkono kazi inayofanywa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wake, Kassim Majaliwa kwa kuwa kinachofanywa na viongozi hao, ndicho ambacho wafanyakazi wamekuwa miaka yote wakitaka Serikali zilizotangulia, zifanye ili maslahi yao yawe mazuri.
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)
Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la mawaziri na kuanza, kwa siku 13 toka Nape Nnauye apata dhamana ya kuwa waziri wa michezo sanaa na utamaduni amemaliza mgogoro ambao huenda ungeiua Stand United na fedha za udhamini kupotea […]
The post Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Mukoba rais mpya Tucta
![Gratian Mukoba, rais mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Gratian-Mukoba.jpg)
Gratian Mukoba, rais mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
RAIS wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba, amewabwaga ameshinda nafasi ya rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Mukoba alipata kura 172 huku mpinzani wake wa karibu, Mbaraka Igangula, akipata kura 110 na Peter Omollo alipata kura 68 wakati mwanahabari Dismas Lyasa aliambulia kura tano.
Hata hivyo, uchaguzi huo ulitawaliwa na mizengwe miongoni wa...
11 years ago
Habarileo07 Aug
Mukoba awa Rais mpya Tucta
MKUTANO Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.
11 years ago
Mwananchi04 May
Tucta ifuatilie utekelezaji wa ahadi za Rais
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yKW_n438w2Q/VUPBbIGnWyI/AAAAAAAHUfs/J0JsLsLwqr0/s72-c/unnamedm.jpg)
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA
![](http://2.bp.blogspot.com/-yKW_n438w2Q/VUPBbIGnWyI/AAAAAAAHUfs/J0JsLsLwqr0/s1600/unnamedm.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7lHn9qB8DmI/VUPBbFglqJI/AAAAAAAHUfo/2_ysox3j11c/s1600/unnamedmm.jpg)
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini.
Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2O2qiS8lFY7QE0bBqZJ6mHiP0K5X2skD89iJsqVlbXmtn5QF02qSiZqfm82s7OV8mW*af-TpYy8LNTxsHTOC6DD/IKULU.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE, TUCTA WAJADILI JINSI YA KUBORESHA MASLAHI NA USTAWI WA WAFANYAKAZI
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Hongera Dk Magufuli, yazingatie haya