Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hongera Dk Magufuli, yazingatie haya

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Jana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ilimtangaza rasmi mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli kuwa rais mteule.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Hongera Rais Dk. Magufuli: Umeibukia huku, Sasa bado pale kwa akina Ngoswe!

PAGE 25

                                                                Kaimu Balozi wa Zambia akiyakana Magogo hayo ya miti ya mninga kwa kile alichodai kuwa watu hao licha ya kueleza kuyatoa Zambia, hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kama wameyatoa Zambia licha ya kuwa wametokea Zambia tukio lililotokea jana Novemba 27.

Na Andrew Chale,Modewjiblog

[TANZANIA] Miongoni mwa habari kubwa kwasasa Tanzania ni namna ya utendaji wa kasi ya ajabu ya Mheshimiwa Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli pamoja na...

 

11 years ago

Mwananchi

Magereza yazingatie afya za wafungwa

Hebu tafakari! Umefanya kosa, unahukumiwa ukiwa na afya tele lakini hata baada ya kifungo chako kumalizika, unatoka ukiwa na maradhi lukuki. Unabahatika kukaa uraiani kwa kipindi kifupi tu, kabla ya uhai wako kutwaliwa na maradhi hayo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mataifa EAC yazingatie ulinzi wa Afrika — Uhuru Kenyatta

726

Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha { AICC }.

731

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohd Sheni akipokea kitabu wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha.

 749

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Tumsaidie Dk Magufuli kutimiza malengo haya

Juzi, Rais John Magufuli alizindua Bunge la Kumi na Moja na kuainisha kero lukuki zinazokwamisha maendeleo ya wananchi na jinsi ya kukabiliana nazo.

 

10 years ago

GPL

MAMBO HAYA MAGUFULI ATAJIFUNZIA IKULU

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli. WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ndiye anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Jakaya Kikwete.
Uzoefu unaonesha kuwa mgombea anayesimama kwa tiketi ya CCM huwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kutokana na historia, kwani wapiga kura wengi bado wana imani na chama...

 

5 years ago

Bongo5

Rais Magufuli na TUCTA wakubaliana haya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewahakikishia viongzoi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kuimarisha zaidi ushirikiano kati yake na wafanyakazi kwa manufaa ya Taifa.

Rais Magufuli amefanya mazungumzo hayo, Alhamisi hii Ikulu jijini Dar es salaam, sambamba na hilo amesema kuwa pamoja na kuimarisha ushirikiano huo serikali iko tayari kupokea ushauri na maoni yatakayotolewa na vyama vya wafanyakazi wenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Haya ndiyo matamanio ya Watanzania kwa Dk Magufuli

Siku moja baada ya Rais Mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kukabidhiwa cheti chake kuwa ndiye mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, wananchi wakiwamo wa kada mbalimbali wameelezea hisia zao na matanio yao kuona atatekeleza ahadi alizotoa kwenye mikutano yake ya kampeni.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Afunguka Mengine Haya kuhusu Magufuli na Lowassa..

Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu.

 

Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii leo kupitia mtandao wa Instagram kapost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.

Kwenye post yake ameipa maneno haya  “Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema …...

 

9 years ago

MillardAyo

Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)

Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la mawaziri na kuanza, kwa siku 13 toka Nape Nnauye apata dhamana ya kuwa waziri wa michezo sanaa na utamaduni amemaliza mgogoro ambao huenda ungeiua Stand United na fedha za udhamini kupotea […]

The post Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani