Kampeni za Chauma leo
Chama cha Ukombozi na Maendeleo (Chauma), kinazindua kampeni zake leo katika viwanja vya Bakhresa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboCHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA BAKHRESA MANZESE DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
StarTV22 Aug
Leo ni leo Kipenga cha kampeni kimepulizwa.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akitangaza kuanza kwa kampeni za vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani. Kushoto ni makamu mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid na mkurugenzi wa uchaguzi, Kailima Kombwey. Picha na Anthony Siame Hatimaye kipenga cha kampeni za uchaguzi mkuu kimepulizwa leo wakati wagombea, vyama na mawakala wao watakapotumia siku zisizopungua 63 kujinadi na kunadi vyama vyao, huku wasomi...
9 years ago
StarTV26 Sep
CHAUMA chaeleza matumaini ya kupata ushindi
Zikiwa zimebaki siku 29 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi cha Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Hashim Rungwe ametoa tathimini yake juu ya mwenendo wa kampeni pamoja na matumaini yake katika kupata ushindi.
Rugwe amesema ingawa ziko changamoto zinazojitokeza lakini kwa ujumla kampeni zinakwenda vizuri na ana matumaini makubwa ya kuingia Ikulu kutokana na watanzania kuhitaji mabadiliko.
Akiwa Singida ambao ni mkoa wa 10 katika mwendelezo wa ziara...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Rungwe asingeweza kuvunja Kanuni za Bunge- Chauma
9 years ago
Habarileo20 Sep
Mgombea urais Chauma kusimamia sekta ya afya
MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama cha Chauma, Hashim Rungwe amesema kuwa Watanzania wampatie ridhaa ya kuongoza ili awaweze kusimamia sekta ya afya.
9 years ago
StarTV18 Sep
Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.
Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...
10 years ago
TheCitizen04 Aug
Chauma candidate in second attempt to clinch TZ’s topmost political post
9 years ago
StarTV24 Oct
Mgombea Ubunge CHAUMA aishauri Tume kusimamia haki
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Eugene Kabendera ameitaka Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo kwa haki bila kupendelea upande wowote baada ya uchaguzi mkuu.
Kabendera amesema Jimbo la Ubungo lina changamoto nyingi hasa ya maji inayosumbua kwa muda mrefu sasa hivyo anahitajika mbunge kijana kama yeye kusimamia jimbo hilo na kuleta maendeleo.
Kabendera ametoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema kuwa haki ni...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Chausta kuzindua kampeni leo