Rungwe asingeweza kuvunja Kanuni za Bunge- Chauma
Chama cha Umma (Chauma) kimeeleza sababu za kumsimamisha mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Bunge la Katiba baada ya kuona dalili mapema kuwa mwenyekiti wa sasa anaweza kuvunja kanuni za uendeshaji wa chombo hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
Michuzi27 Feb
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
J. Kikwete kuvunja Bunge la 10
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
UKAWA kuvunja Bunge
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetishia kuvunja Bunge Maalumu la Katiba iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutumia rasimu yake badala ya kutumia rasimu ya pili iliyowasilishwa na Mwenyekiti...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Wananchi kuvunja Bunge
MWENENDO usioridhisha wa Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma umesababisha wanaharakati, taasisi, vyama vya siasa na watu wa kada mbalimbali kutamani Bunge hilo livunjwe. Moja ya taasisi zilizoamua kuvalia...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Bavicha wapinga kauli za kuvunja Bunge
10 years ago
Habarileo17 Aug
Werema: Rais hana nguvu kuvunja Bunge
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema amesisitiza kuwa sheria hairuhusu mtu yeyote, akiwemo Rais Jakaya Kikwete, kuvunja Bunge Maalumu la Katiba.
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/VP4mOd-uDxA/default.jpg)
11 years ago
Habarileo12 Mar
Kanuni Bunge Maalumu zapita
HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba, limepitisha rasimu ya Kanuni zitakazotumika kuongoza majadiliano, pamoja na vifungu ambavyo havikutaja aina ya upigaji kura kama utakuwa wa wazi au wa siri. Hata hivyo, wakati Bunge likipitisha azimio hilo, baadhi ya wajumbe wamelaani kitendo cha Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho, kuridhia kupitishwa kwa ‘kanuni nusu’ za Bunge kwa maelezo kuwa jambo hilo halitaleta muafaka.