Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Sasumua yaanza matayarisho ya uchimbaji Madini Ya Graphite Handeni

Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Sasumua Holding imegundua uwepo wa kiasi kikubwa cha madini ya Graphite katika kata ya Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga.

Tayari kampuni hiyo imeshaanza kuingiza vifaa vya kisasa vya uchimbaji nchini ili ifikapo mwezi Februari mwakani wawe tayari wameshaanza kazi ya uchimbaji.

Kata ya kwamsisi ipo katika wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,ndani  kata hii yamedundulika madini ya Graphite ambayo hivi punde yataanza kuchimbwa.

Wananchi wanaoishi katika kata...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MAGEREZA KUINGIA UBIA WA UCHIMBAJI MADINI YA CHOKAA NA KAMPUNI YA TWIGA CEMENT YA JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi Magereza John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alfonso Rodrudges(kulia) kabla ya kusaini Makubaliano ya ubia kati ya Shirika la Magereza na Kmapuni hiyo ya uchimbaji madini ya chokaa katika eneo la Gereza Wazo Hill leo Agosti 21, 2014 Jijini Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alfonso Rodrudges(kulia) wakisaini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yataka kampuni ya madini ya Shanta na wanakijiji cha Ikungi kumaliza tofauti zao waendelee na kazi za uchimbaji

IMG_1927

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (mwenye koti kulia) akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi na mchimbaji madini ya Gypsum kijijini Itigi, Ismael Ivata (kushoto).Viongozi hao walikuwa kwenye shimo linalochimbwa gypsum.

IMG_1904

Afisa Mwanadamizi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta kijiji cha Sambaru wilaya ya Ikungi, Octavian Ndazi, akitoa taarifa yake kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (hayupo kwenye picha). Hata...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAANZA MATAYARISHO YA UZINDUZI WA JUMUIYA YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA

 Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini Zanzibar.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai akielezea matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar  Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi...

 

5 years ago

periodical360

Global Large Flake Graphite Market Business Opportunities 2026 - Top Companies are Jixi Changyuan Mining Industry, Qiangli Graphite

Global Large Flake Graphite Market Business Opportunities 2026 - Top Companies are Jixi Changyuan Mining Industry, Qiangli Graphite  periodical360

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Leseni uchimbaji madini zafutwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umesitisha utoaji wa leseni za uchimbaji madini ya ujenzi katika Jiji la Dar es Salaam ili kuokoa mazingira.

 

10 years ago

Habarileo

Leseni sita za uchimbaji madini zatolewa

SERIKALI imesema kuwa leseni zote za madini zikiwemo za utafiti, uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo, zitakaguliwa baada ya miezi sita baada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yaliyoombewa leseni, yanaendelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini

Wizara ya Maliasili na Utalii, imepiga marufuku uchimbaji wa madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUKOMESHA UCHIMBAJI NA UUZAJI HARAMU WA MADINI

 Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Leseni, Mhandisi John Nayopa akifungua rasmi warsha kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  ujulikanao kama ICGLR Regional Initiative Against Illegal Exploitation of Natural Resources (RINR).
Washiriki wa warsha wakifuatilia uwasilishaji mada kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  ujulikanao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani